Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 7,060
- 9,468
Sasa mbona kafa pamoja na hizo huduma bora?Mzena alipata huduma Bora ambazo Zanzibar asingepata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mbona kafa pamoja na hizo huduma bora?Mzena alipata huduma Bora ambazo Zanzibar asingepata
Mheshimiwa ni vyema ukawa mpole tu, kwani huko Zenji wana siasa zao. Ingawaje sijui kama wewe sio Mzenji. Ila kama ni Mzenji, hiyo ndio siasa yenu.
Nani ananung'unika?... na ni nini base ya manung'uniko yake!?Ni vizuri ikijulikana ili kuondoa manung'uniko
Mambo ya akina mwinyi na uzanzibar unavuruga ,Mwinyi ni mtu wa mkuranga na itabaki hivyoWabongo wengi walio watu wa kuunga unga maneno kimajungu niliwauliza huo usia wa Mwinyi aliosema anataka kuzikwa Mkuranga mnaweza kuuthibitisha?
Walishindwa kujibu.
Wapi nimesema Mwinyi ni Mzanzibar au Mtanganyika?Mambo ya akina mwinyi na uzanzibar unavuruga ,Mwinyi ni mtu wa mkuranga na itabaki hivyo
Tatizo linakuja sheria za zanzibar zinamuhitaji mnzanzibar awe Rais wa nchi
Mwinyi anakumbana na upinzani sana wa chini kwa chini ndani ya wana ccm wazanzibar toka kwenye kugombea
Hao ACT wazalendo wanatumia uraia kama fimbo ya kumchapia Mwinyi kila akinyanyua kichwa
Technically wangemzika Hayati Baba yake Mkuranga ndio ingekuwa sasa amejichimbia tanuru la moto kisiasa na yeye anakiri wasiomtakia mema ndio wanachochea
Safi....mjinga mjibu kulingana na ujinga wakeHaya
Nani anaenung'unika?Ni vizuri ikijulikana ili kuondoa manung'uniko
Huwezi fananisha siasa za Afrika na Siasa za Marekani.Kila Taifa kuna siasa zake na hata majimbo ya Marekani hayafanani kabisa kisiasaWapi nimesema Mwinyi ni Mzanzibar au Mtanganyika?
Unajua kusoma kwa ufahamu?
Mimi Msukuma nimezaliwa Dar Ocean Road, nimekuja kuishi Marekani. Nimekaa huku zaidi ya nusu ya maisha yangu.
Nimeamua kuzikwa Marekani. Utataka kuninyanyapaa kwa uamuzi wangu huo?
Hussein Mwinyi mbaneni kwenye mambo mengine mengi tu anayo makandokando yake ya kisiasa, sio kwenye wapi kamzika baba yake.
Mkimbana alipomzika baba yake, mtaonekana hamna hoja ya kumbana mmekimbilia kumbana kwa kiroja.
Hussein Mwinyi popote pale ambapo angeamua kumzika baba yake, watu wenye maneno ya ovyo wangemsema ti, kwa sababu ndiyo kazi yao.
Angemzika Mkuranga, angemzika Cairo Misri, kote huko wangesema tu.
Kwa sababu wabongo wengi hawajui siasa za hoja, wanajua siasa za viroja na majitaka.
Which shows how pointless this brouhaha is.
If one is intelligent enough, will realize that this is grafted story by Hussein, it carries no truthHii ndiyo Taarifa mpya ya sasa kama ilivyoripotiwa na MwanaHalisi Digital .
Husein Mwinyi ambaye ni Rais anadai wanaoeneza hilo wamelenga kumdhoofisha kisiasa (Hakufafanua kwamba watamdhoofishaje na wala hakusema Mzee kuzikwa Zanzibar kunamuimarishaje) na wala hakusema pia kama Mzee Mwinyi aliagiza akazikwe Zanzibar .
Zaidi soma hapa.
View attachment 2925536View attachment 2925539View attachment 2925540
Nakwambia hivi, Mwinyi awe Mzanzibari au asiwe Mzanzibari, awe mwanasiasa au raia wa kawaida, kumnyanyapaa yeye na familia yake kwa sababu kazikwa Zanzibar si sawa.Huwezi fananisha siasa za Afrika na Siasa za Marekani.Kila Taifa kuna siasa zake na hata majimbo ya Marekani hayafanani kabisa kisiasa
Siasa za Afrika ili ushinde lazima umshambulie mpinzani wako sana ,Lazima utengeneze kamati ya majungu ,Bila kumtengenezea ajali mpinzani wako huwezi kushinda uchaguzi Tanzania
Angalia akina Salim Ahmed walivyotungiwa uongo kuwa ni hizibu ,Angalia kikwete alivyoingia madarakani, Angalia lowasa na yale magenge yao ya mtandao
Kila kitu kinafanyika kulingana na muktadha wa sehemu husika
Kwa ufupi Hayati Mwinyi sio mzanzibar na hata Rais Mwinyi wa sasa sio mzanzibar .Katiba ya zanzibar inataka mzanzibar awe Rais haiongelei mtanzania
Mwinyi mwenyewe kwenye uchaguzi wa 2020 alikata tamaa ,Sema nguvu ya JPM na vitisho na kuogopwa kwake ndio Mwinyi akatulia ,Wazanzibar wana ccm wenzake ndio tatizo wanamuona sio Raia
Kwa nn Nyerere alipelekwa London badala ya Mzena?Kwanini sasa alipelekwa mzena badala ya zanzibar?View attachment 2925542
Washaamua kuwa wao ni Wazanzibari, msiwalazimishe.Dk. Hussein aliwahi kuwa mbunge wa Mkuranga kama sijakosea. Mbona Mkuranga ile ile suddenly imekuwa mbaya hivyo hata kuzikia tunapakimbia? Dah! Mkataa kwao?
Itawasaidia nn.Ni vizuri ikijulikana ili kuondoa manung'uniko
Inawakera nini!?Mzee mwinyi kuzikwa zanzabar ipo kisiasa zaidi
Umesema kweli kabisaWapi nimesema Mwinyi ni Mzanzibar au Mtanganyika?