Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wewe ukiwa na option Mkuranga au Zanzibar unachagua wapi?Dk. Hussein aliwahi kuwa mbunge wa Mkuranga kama sijakosea. Mbona Mkuranga ile ile suddenly imekuwa mbaya hivyo hata kuzikia tunapakimbia? Dah! Mkataa kwao?
Ni Hospitali ya umma ila imetekwa na viongozi wa ccm , Usalama waTaifa si mali ya ccmNje ya mada
Nauliza Mzena ni hospital ya viongozi tu?
Tunaomba nyarakaMbona karume alikuwa mmalawi na alizikwa zanzibar
Hata kama hakuacha Wosia ndio azikwe ughaibuni ?Kama mtoto wake kasema baba yake hajaacha huo wosia we utabisha kama nani sasa
We huwajui wabongo kwa figisu?Kama mtoto wake kasema baba yake hajaacha huo wosia we utabisha kama nani sasa
😆😆😆We huwajui wabongo kwa figisu?
"Wanatoa calcification"! Hapohapo sogeasogea utapata neno sahihi, ila umejitahidi japo si neno sahihi.Wanatoa calcification Tu ili maneno yasiendelee kuwa mengi na hayana majibu
Mkuu ukiona mtu anatumia nguvu nyingi kukanusha kinachosemwa ukweli uliowazi ujue anaogopa!Dk. Hussein aliwahi kuwa mbunge wa Mkuranga kama sijakosea. Mbona Mkuranga ile ile suddenly imekuwa mbaya hivyo hata kuzikia tunapakimbia? Dah! Mkataa kwao?
📝🆒👍Una uhuru wa kusema hivyo, lakini hilo halifanyi unalosema kuwa kweli.
Masuala ya nia, kitu cha ndani kabisa katika fikra za mtu, ni magumu sana kwa mtu mwingine kuyajua.
Wewe unaweza kurahisisha mambo hayo kwa sababu hujaishi maisha yake, hujajua ana connection gani na Zanzibar.
Familia ya Mwinyi imeamua kuhamia Zanzibar. Kuna mtoto wa pili wa Ali Hassan Mwinyi anaitwa Hassan hakuwa mwanadiasa, alifariki mwaka 2022. Alizikwa Zanzibar.
Huyo naye utasema kazijwa Zanzibar kisiasa?
Hawa wakina Mwinyi hata wakija kuzikwa Mkuranga nako kuna kitu kitakuzuia kusema wanazikwa Mkuranga kisiasa kwa sababu wanataka urais wa bara?
Ukitaka Mwinyi azikwe wapi iki usione kazikwa kisiasa? Cairo Misri?
Na huyu Hassan baba yake kazikwa hapo hapo, pembeni ya kaburi la mtoto wake wa pili aliyeitwa Hassan.
Sasa Mzee Ali Hassan Mwinyi akikwambia anataka kuzikwa Zanzibar walipohamia, alipoanzia elimu na maisha, alipianzia siasa, alipoolea na kuoata familia, ambapo mtoto wake kazikwa, na ndugu zake wengine watazikwa, utataka kumnyanyapaa kwamba kaamua kuzikwa hapo kisiasa?
Mbona mnamkosea heshima sana huyu Mzee wakati yeye alikuwa mtu mstaarabu sana kwenye ku deal na watu?
Kutumia akili zetu kutafakari kilichotokea kwenye msiba wa aliyewahi kuwa kiongozi wa kitaifa, hakuwezi kuwa sawa na kumkosea heshima, usipotoshe.Una uhuru wa kusema hivyo, lakini hilo halifanyi unalosema kuwa kweli.
Masuala ya nia, kitu cha ndani kabisa katika fikra za mtu, ni magumu sana kwa mtu mwingine kuyajua.
Wewe unaweza kurahisisha mambo hayo kwa sababu hujaishi maisha yake, hujajua ana connection gani na Zanzibar.
Familia ya Mwinyi imeamua kuhamia Zanzibar. Kuna mtoto wa pili wa Ali Hassan Mwinyi anaitwa Hassan hakuwa mwanasiasa, alifariki mwaka 2022. Alizikwa Zanzibar.
Huyo naye utasema kazikwa Zanzibar kisiasa?
Hawa wakina Mwinyi hata wakija kuzikwa Mkuranga nako kuna kitu kitakuzuia kusema wanazikwa Mkuranga kisiasa kwa sababu wanataka urais wa bara?
Ukitaka Mwinyi azikwe wapi ili usione kazikwa kisiasa? Cairo Misri?
Na huyu Hassan baba yake kazikwa hapo hapo, pembeni ya kaburi la mtoto wake wa pili.
Sasa Mzee Ali Hassan Mwinyi akikwambia anataka kuzikwa Zanzibar walipohamia, alipoanzia elimu na maisha, alipianzia siasa, alipoolea na kupata familia, ambapo mtoto wake kazikwa, na ndugu zake wengine watazikwa, utataka kumnyanyapaa kwamba kaamua kuzikwa hapo kisiasa?
Mbona mnamkosea heshima sana huyu Mzee wakati yeye alikuwa mtu mstaarabu sana kwenye ku deal na watu?
Akili za kitanzania, tunabishania maziko, ya mahamuma, au marehemu, nature has do it's work!Hata kama hakuacha Wosia ndio azikwe ughaibuni ?
ni mkuranga mkuuMkulanga
Kutumia akili zetu kutafakari kilichotokea kwenye msiba wa aliyewahi kuwa kiongozi wa kitaifa, hakuwezi kuwa sawa na kumkosea heshima, usipotoshe.
Wewe ndie unayetukosea heshima sisi kwa kutaka tuwe wazembe kama wewe wa kukubali kila tunachoambiwa, ukweli ni kwamba wameenda kumzika Mwinyi Zanzibar kwasababu za kisiasa.
Na hata hilo jibu alilotoa Hussein Mwinyi, Rais wa Zanzibar, nalo pia ni la kisiasa, sema kwasababu umeamua kulishwa kila kitu kama mtoto mchanga kwenye hili jambo, huwezi kuona hilo.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Mheshimiwa ni vyema ukawa mpole tu, kwani huko Zenji wana siasa zao. Ingawaje sijui kama wewe sio Mzenji. Ila kama ni Mzenji, hiyo ndio siasa yenu.Familia ya Mwinyi ina haki ya kumzika baba yao popote inapotaka bila kunyanyapaliwa.
Mnachofanya hapa kuleta majungu yasiyo na ushahidi wala uthibitisho ni kuinyanyapaa familia hii katika wakati wa msiba wao.
Mnajionesha nyie ni watu mliokosa hata chembe ya ustaarabu ya kusema tuwaache watu wazike wanavyotaka, kama siasa tutafanya kwingine, si kwenye mazishi.
Familia iliwaomba faragha tangu Mzee Mwinyi anaumwa, kwa kujua kuwa kuna watu wana majungu.
Na sasa Rais Hussein Mwinyi karudi kunyoosha maneno kwamba huo wosia mnaousema wao familia ndio wanaouhusika.
Sasa wewe ni mtu wa familia ya Mwinyi kuliko Hussein Mwinyi?
Mbona unashangaza sana?
Yani katika mabaya yote ambayo unaweza kuisema familia ya Mwinyi, umechagua hili la wapi wamemzika baba yao?
Hili ndilo umeliona la muhimu kabisa? Ulitaka kuwapangia wewe pa kumzika baba yao?
Hivi angezikwa Mkuranga napo mngeshindwa kusema kazikwa huko kisiasa kwa sababu Hussein anataka kugombea urais bara?
Acheni maneno yenu ya majungu yasiyo na ushahidi wala uthibitisho. Waacheni wenzenu wamalize msiba wa mzee wao bila maneno ya ovyo yasiyo na kichwa wlaa mguu.
Na huyu aliyewahi kuwa mbunge wa Mkuranga ni Mzanzibari au Mtanganyika?Inaonesha watu hatuna mambo ya maana ya kujadili.
Hebu fikiria mtu atoke mkuranga akiwa na miaka minne ni kabla ya Uhuru, amesoma huko, kaajiliwa huko, kaitumikia Zanzibar kwa dhati kabisa, kajiunga na chama cha siasa huko huko lengo ni kuwaondoa wakoloni. Kateuliwa nafasi za juu serikalini kabla ya Kuja bara, huko huko Zanzibar, halafu mseme eti mtanganyika!?? Huyu alishaukataa utanganyika kitambo sana