Zanzibar 2020 Dkt. Hussein Mwinyi ashinda kiti cha Urais Zanzibar kwa asilimia 76.27

Zanzibar 2020 Dkt. Hussein Mwinyi ashinda kiti cha Urais Zanzibar kwa asilimia 76.27

Observer

JF HQ
Joined
Oct 18, 2006
Posts
189
Reaction score
299
Mgombea wa kiti cha urais wa Zanzibar kwa kupitia chama Cha CCM, Dkt. Hussein Mwinyi ametangazwa kushinda uchaguzi huo kwa kupata kura 380402 sawa na 76.27%

Mpinzani wake wa karibu Mgombea urais kwa kupitia chama Cha ACT Wazalendo, Maalim Seif amepata kura 99103 sawa na 19.87%

Mwinyi amewashinda wagombea wengine 16
 
Hivyi sasa
Ameshinda kwa asilimia 76.
Mungu ibariki Zanzibar
 
Hayawi hayawi yamekuwa huko Zanzibar tume ya taifa ya uchaguzi imemtangaza rasmi mgombea wa CCM kuwa mshindi.
 

Attachments

  • IMG_20201029_184248.jpg
    IMG_20201029_184248.jpg
    170.7 KB · Views: 1
  • IMG_20201029_184241.jpg
    IMG_20201029_184241.jpg
    100.4 KB · Views: 1
Mgombea wa kiti cha urais wa Zanzibar kwa kupitia chama Cha CCM, Dkt Hassan Mwinyi ametangazwa kushinda uchaguzi huo kwa kupata kura 3008402

Mwinyi amewashinda wagombea wengine 16
Tumeshinda kama ccm

Niliwaambia hapa mtapigwa Shikwambi mpaka mtashangaa

Sasa ccm tumeshinda kwa kishindo kikuu

Maisha yatakuwa bora sana zaidi ya wakati wote

ccm forever

Shikwambi aaahaa nazani sasa mmenielewa nilikuwa namaanisha kitu gani

Upinzani kwisha na kwisha kabisa habari zenu

Jiandaeni kwa Shikwambi mpya ya sheria bungeni

Sisi ccm leo ni furaha kila kona ya nchi


Shinda kwa mbinu(shikwambi) iwe jua au mvua

Tumeshinda kwa shikwambi iliyoboreshwa zaidi kwa kupiga kampeni chumba kwa chumba


Cccm oyeeeee oyeee

Chadema kwisha kwisha kabisa
 
#BreakingNews:Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC)imemtangaza Dkt.Hussein Ali Mwinyi kuwa Rais mteule wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar baada ya kupata kura 380,402 sawa na asilimia 76.27.
 
Kifuatacho sasa ni kutangazwa kwa JPM...

Tuendelee na maisha
 
[emoji1241]BREAKING NEWS.*

DKT MWINYI SASA RASMI NDIYE RAIS WA ZANZIBAR.

Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imemtangaza rasmi Dkt Hussein Ali Hassan Mwinyi wa CCM Kuwa Rais wa Zanzibar baada ya kupata kura 370,402 sawa na asilimia 76.27 wakati aliyemfuatia ambaye ni Maalim Seif Sharif Hamad wa ACT- Wazalendo akipata kura 99,300 sawa na asilimia 19.87.

DKT HUSSEIN ALI HASSAN MWINYI WA CCM NDIYE RAIS WA ZANZIBAR KWA MIAKA MITANO IJAYO.
IMG-20201029-WA0681.jpg
IMG-20201029-WA0685.jpg
IMG_20201029_190913_481.jpg
IMG_20201029_190504_926.jpg
 
Back
Top Bottom