Zanzibar 2020 Dkt. Hussein Mwinyi ashinda kiti cha Urais Zanzibar kwa asilimia 76.27

Zanzibar 2020 Dkt. Hussein Mwinyi ashinda kiti cha Urais Zanzibar kwa asilimia 76.27

Tumeshinda kama ccm

Niliwaambia hapa mtapigwa Shikwambi mpaka mtashangaa...
Mimi nakuona kama zuzu fulani hivi.

Hongera sana Dr. mwinyi naamini zanzibar wamepata walicho stahili.
 
Uchaguzi wa mwaka huu, ni mapinduzi ya Magufuli, Mwinyi na vyombo vya Dola...dhidi ya wananchi wa Tanzania!

Hawa ni magaidi tu

Watanzania wanaipenda sana CCM ndio maana wapo majumbani wanafurahia ushindi wa CCM kwa amani. Kinyume na hapo wangekuwa mabarabarani wanaandamana.
 
Mgombea wa kiti cha urais wa Zanzibar kwa kupitia chama Cha CCM, Dkt. Hussein Mwinyi ametangazwa kushinda uchaguzi huo kwa kupata kura 380402 sawa na 76.27%

Mpinzani wake wa karibu Mgombea urais kwa kupitia chama Cha ACT Wazalendo, Maalim Seif amepata kura 99103 sawa na 19.87%

Mwinyi amewashinda wagombea wengine 16
Usiseme kashinda bali kutangazwa mshindi
 
mpaka mbinguni, wakitoka hapa wanakuwa viongozi wa malaika huko.

Watz wanaipenda sana ccm ndio maana wapo majumbani wanafurahia ushindi wa ccm kwa amani. Kinyume na hapo wangekuwa mabarabarani wanaandamana.
 
Hakika CCM ni chama teule kimeletwa na mungu,na kwa kweli kiongozi wa CCM atakuwa mkuu wa malaika huko kwenye maisha baada ya haya. CCM oyeee
#Magu4life.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom