Zanzibar 2020 Dkt. Hussein Mwinyi ashinda kiti cha Urais Zanzibar kwa asilimia 76.27

Zanzibar 2020 Dkt. Hussein Mwinyi ashinda kiti cha Urais Zanzibar kwa asilimia 76.27

Hongera Dr. Hussein Mwinyi.

All the best katika majukumu yako mapya.
 
Jidanganyeni hivyo hivyo wakati moto unakuja.
Hii ni dunia jomba! Kuna kanuni za pamoja lazima zifuatwe ndio maana kina Gabgo walijikuta The Hague. Au unadhani nchi zao sio huru? Wapi Albashiri? Wako wapi kina Taylor?
Watz hawapendi shari ndio wapo majumbani wakiendelea na mambo yao.

Hawa ndiwo wawakilishi waliochaguliwa na wananchi, wananchi wanaipenda sana ccm, sasa nchi yetu inaenda kuwa kama ulaya
 
Back
Top Bottom