Tumeshinda kama ccmMgombea wa kiti cha urais wa Zanzibar kwa kupitia chama Cha CCM, Dkt Hassan Mwinyi ametangazwa kushinda uchaguzi huo kwa kupata kura 3008402
Mwinyi amewashinda wagombea wengine 16
Mna laana nyinyiTumeshinda kama ccm
Niliwaambia hapa mtapigwa Shikwambi mpaka mtashangaa...
Msoto mwingine unakuja
Ndiyo hicho mlichokuwa mnategemea haya subirini.Yaaani subirini uchaguzi wa marekani upite nchii hii itawekewa vikwazo mpaka basi
Kwa nini?Atakuwa Rais wa muda mfupi sana
Tuendelee...
Kuwa makiniAtakuwa Rais wa muda mfupi sana
Tuendelee...
How?Kuwa makini
Unatoa vitisho kwa rais