Zanzibar 2020 Dkt. Hussein Mwinyi ashinda kiti cha Urais Zanzibar kwa asilimia 76.27

Tumeshinda kama ccm

Niliwaambia hapa mtapigwa Shikwambi mpaka mtashangaa...
Mimi nakuona kama zuzu fulani hivi.

Hongera sana Dr. mwinyi naamini zanzibar wamepata walicho stahili.
 
Uchaguzi wa mwaka huu, ni mapinduzi ya Magufuli, Mwinyi na vyombo vya Dola...dhidi ya wananchi wa Tanzania!

Hawa ni magaidi tu

Watanzania wanaipenda sana CCM ndio maana wapo majumbani wanafurahia ushindi wa CCM kwa amani. Kinyume na hapo wangekuwa mabarabarani wanaandamana.
 
Usiseme kashinda bali kutangazwa mshindi
 
mpaka mbinguni, wakitoka hapa wanakuwa viongozi wa malaika huko.

Watz wanaipenda sana ccm ndio maana wapo majumbani wanafurahia ushindi wa ccm kwa amani. Kinyume na hapo wangekuwa mabarabarani wanaandamana.
 
Hakika CCM ni chama teule kimeletwa na mungu,na kwa kweli kiongozi wa CCM atakuwa mkuu wa malaika huko kwenye maisha baada ya haya. CCM oyeee
#Magu4life.
 
Reactions: PNC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…