Haijawahi kutokea mgombea urais wa Zanzibar kupata asilimia hizo kubwa katika mfumo wa vyama vingi. Ngoja nirudie kusoma makabrasha ya tangu 1995 kuhusu siasa za Zanzibar
2010
Huko Visiwani Zanzibar Dkt Ali Mohammed Shein wa chama cha mapinduzi CCM alishinda kwa asilia mia 50.1 ya kura dhidi ya mpinzani wake Seif Sharrif Hamad wa chama cha upinzani CUF aliyefanikiwa kupata asilia mia 49.1 ya kura.
Maafisa wa tume ya uchaguzi wanatarajiwa kutoa matokeo zaidi hii leo. Katika matokeo yaliyotangazwa hadi katika maeneo bunge 10, kutoka 239, Kikwete anaongoza kwa asilia mia 66.94 ya kura ilhali Slaa amepata asilia mia 17.36.
2005
Tume ya Uchaguzi ya ZanzibaΕ ilitangaza kwamba mgombea wa uΕais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amani KaΕume, alipata asilimia 53.2 ya kuΕa wakati mpinzani wake mkuu Chama Cha Wananchi (CUF), Seif ShaΕif Hamad, alipata asilimia 46.1.