stakehigh JF-Expert Member Joined Aug 9, 2019 Posts 7,134 Reaction score 4,556 Oct 29, 2020 #61 Ciril said: Fanya iwe Milele kabisa Mkuu. Click to expand... tundu lissu wapeleke mchaka mchaka, wapeleke kikamanda mchaka mchaka! π
Ciril said: Fanya iwe Milele kabisa Mkuu. Click to expand... tundu lissu wapeleke mchaka mchaka, wapeleke kikamanda mchaka mchaka! π
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 37,630 Reaction score 47,434 Oct 29, 2020 #62 Hongera Dr. Hussein Mwinyi. All the best katika majukumu yako mapya.
Pulchra Animo JF-Expert Member Joined Jun 16, 2016 Posts 3,718 Reaction score 3,465 Oct 30, 2020 #63 technically said: Yaaani subirini uchaguzi wa Marekani upite, nchi hii itawekewa vikwazo mpaka basi Click to expand... Subiri uone mess ya uchaguzi wao kwanza!
technically said: Yaaani subirini uchaguzi wa Marekani upite, nchi hii itawekewa vikwazo mpaka basi Click to expand... Subiri uone mess ya uchaguzi wao kwanza!
Kipangaspecial JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 20,778 Reaction score 28,722 Oct 30, 2020 #64 MtuHabari said: Jidanganyeni hivyo hivyo wakati moto unakuja. Hii ni dunia jomba! Kuna kanuni za pamoja lazima zifuatwe ndio maana kina Gabgo walijikuta The Hague. Au unadhani nchi zao sio huru? Wapi Albashiri? Wako wapi kina Taylor? Click to expand... Watz hawapendi shari ndio wapo majumbani wakiendelea na mambo yao. Hawa ndiwo wawakilishi waliochaguliwa na wananchi, wananchi wanaipenda sana ccm, sasa nchi yetu inaenda kuwa kama ulaya
MtuHabari said: Jidanganyeni hivyo hivyo wakati moto unakuja. Hii ni dunia jomba! Kuna kanuni za pamoja lazima zifuatwe ndio maana kina Gabgo walijikuta The Hague. Au unadhani nchi zao sio huru? Wapi Albashiri? Wako wapi kina Taylor? Click to expand... Watz hawapendi shari ndio wapo majumbani wakiendelea na mambo yao. Hawa ndiwo wawakilishi waliochaguliwa na wananchi, wananchi wanaipenda sana ccm, sasa nchi yetu inaenda kuwa kama ulaya
Mbunifu Mwaminifu Member Joined Dec 13, 2012 Posts 67 Reaction score 354 Oct 30, 2020 #65 Kipangaspecial said: Safi CCM inapendwa sana na wazanzibar Click to expand... Acha uwongo
papason JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 5,119 Reaction score 5,698 Oct 30, 2020 #66 duuuu wizzi wa namna hii, haijawahi tokea