Kwa hiyo unaweza ukathibitisha kuwa hao wamepotea wenyewe na mbona polisi hawajathibitisha hilo?Kama mpoteaji ameamua kupotea kwa mapenzi yake na kama muumiaji ameamua kutokutoa ushirikiano kwenye upelelezi wake nani alaumiwe kwa hilo?
Na huyo muumiaji je kama angefariki kwenye shambulio ina maana ya hawa polisi wanaodai wana intelijensia wasingefanya uchunguzi?