Dkt. John Pima aliyekuwa DED Arusha na wenzake wahukumiwa kifungo cha miaka 20 jela

Miaka 20, maana yake watatumikia theluthi mbili ya miaka yao.

Mantiki hiyo ni kuwa Watatumikia miaka 13 na miezi kadhaa. Kwa kuwa wameshatumikia mwaka na miezi minne basi bado miaka 12 au chini ya hapo.

2023+12, watatoka 2035.

Ila hapo katikati wanaweza kuchomoka kwa msamaha wa Rais.
 
Jela hata miezi 6 sio poa. Pasikie tu.
 
Hao ndiyo mapapa yenyewe. Waidhinishaji na wasimamizi.
 
Rufaa inakwenda kuwamwaga!
 
Wakirugenzi wengi kwenye halmashauri wanakula rushwa na mamilioni za wananchi. Huku watumishi wadogo wakiungua jua.

PM angekuwa smart jela wangejaa wao badala ya kesi za wizi wa kuku
 
Mwendazake crews, internal Auditors walitishiwa sana na huyu jamaa
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imewahukumu aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, Dk John Pima na wenzake wawili kifungo cha miaka 20 jela baada ya kukutwa na makosa ya uhujumu uchumi.

#tunaliwezeshataifa
Anatafuta ujaji tu huyo hakimu hana uzalendo wowote ule wote chawa tu
 
Dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…