Dkt. Kahyoza: Magufuli alifanya makosa makubwa kuhamishia Serikali Dodoma, gharama zimekuwa mara mbili

Nipe sababu moja tu ya maana ya kulazimisha kuhamisha makao makuu ya nchi baada ya kushindwa kutekelezwa kwa miaka zaidi ya 40 yaani umuhimu wake mkubwa hasa ni nini?
Itoshe kukuambia kuwa, mtu akiwa timamu kisha akapewa nafasi ya kuwa kiongozi wa taasisi ya uraisi, basi anapewa na nyenzo zote za kufanyia kazi, kufikiri, kuona, kutambua, etc

Wewe peke yako, huna na huwezi kuona na kujua anayoyajua mwenye nyenzo zote; hivyo sitakupa sababu kwa minajiri hiyo, ila amini wewe sio CLEVER kuliko wao!
 
Mkuu ushahidi upo wa kutosha, usijitoebufahamu kwa sababu ya mahaba uchwara.

Unajifanya una mapenzi naye kuliko hata familia yake. Mwendazake alikuwa katili kupita kiasi, lilikuwa ni kosa kubwa kwenye historia ya Tanzania.
Uko wapi?
 
Sasa kosa la Magufuli ni lipi? Kama viongozi wenyewe hawataki kuishi dodoma kosa la magufuli ni lipi?

Tatizo la viongozi ni kuishi kwa mazoea Mwili uko dodoma akili zipo dar.

Ilitakiwa ipitishwe sharia bungeni kwamba serikali yote ni lazima iwe dodoma kinyume na hapo ni uvunjaji wa katiba ya nchi.
 
Hoja ya vumbi na hali ya hewa haina mashiko ,hivi dar ndio kuna hali ya hewa nzuri ? ,kama wanaogopa vumbi mbona wanapenda sana kwenda dubai hivi kati ya dodoma na dubai wapi kwenye vumbi sana maana dubai ni jangwa
Dubai😃😃😃🥺🤣
 
BARD AI nadhani Dr hayuko sahihi....anachotakiwa kufanya ni kuwashauri viongozi kutulia katika mji wa kiserikali Mtumba ili kupunguza matumizi ovyo ya Kodi za wananchi....
Ingekuwa wote wamehamua idodoywa hapo sawa,.meneja awe Dodoma ,mkurugenzi Dar,katibu Dodoma,waziri dar,ilisha wezekana wapi duniani,lazima watafutane na lazima gharama mlima,hapo bado mla ,auwala kwa kamba hawajaunda mchongo🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️
 
Hilo jina lake tu linaonyesha ni mnufaika wa escrow!
 
Mji huzidiwi, tatizo ni mipango miji mibovu tu.
 
Tutakuwa tushahama tupo zetu Dar
 
Nakuona mgogo wa Chamwino unavyotetea mji wako kama jangwa la Kalahari
 
Taasisi nyingine zilizobaki zinahamia dom,nina ndugu yupo tbs anasema wanahamia dom muda si mrefu
Hivi kuna ulazima gani ya ofisi zote kuhamia Dodoma? Kuna ofisi makao makuu yanatakiwa yawepo Dar, mfano Bandari, TRA, TBS etc. Halafu unakuwaje na makao makuu ambayo hayana international airport? Mhh
 
Hivi kuna ulazima gani ya ofisi zote kuhamia Dodoma? Kuna ofisi makao makuu yanatakiwa yawepo Dar, mfano Bandari, TRA, TBS etc. Halafu unakuwaje na makao makuu ambayo hayana international airport? Mhh
Sasa si ndio msalato inajengwa.

Tatizo tumeshakariri kila kitu Dar, akili za viongozi wetu ziliishia hapo wakaiacha miji mingine kama Mwanza kuwa dhoofu
 
Ila mchambuzi akili huna,serikali ilihamishiwa dodoma na alihamisha ofisi zote.sasa huyo aliewafanya wafanye vikao dar ndio alaumiwe acheni kuogopa
 
Wabeba jeneza hawataelewa, huduma zile zile, Dar na Dom, lakini unatumia trilions kuhamisha makao makuu as if kuna dharura
Hili jambo lilishawekwa kwenye mipango ya nchi hata katika ilani. Iweje muanze kumlaumu mtekelezaji. ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…