Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 15,692
- 23,038
Basi labda kaandikiwa, ..
Sifahamu uzuri sheria za Tanzania zinasemaje kuhusu watanzania kuwakilishwa na wanasheria wa kigeni katika mahakama za kitanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi labda kaandikiwa, ..
Mkuu, kwa kukusaidia tu kuna uandishi (au mpangilio wa maneno) wa kwenye vitabu vya kitaaluma, articles, magazeti, vitabu vya stori n.k. Na kila sehemu waweza kuta mpangilio wa maneno tofauti na uliozoea ktk sehemu nyingine. Lakini kutokuujua kwako hakufanyi kuwa huo mpangilio mgeni kwako sio sahihi.
Jijengee mazoea ya kutowashambulia watu ktk lugha ya kiingereza. Hii lugha ina wenyewe. Na yawezekana kabisa huyo Robert Amsterdam akikuzungumzisha hicho kiingereza usielewe kabisaa anachoongea kutokana na udhaifu wetu waTz ktk lugha hiyo ya malkia.
Ajabu, nikueleze hapo juu habari ya mpangilio wa maneno ktk sentensi halafu niwe sikufahamu maana ya grammer.Unaelewa maana ya grammar kwanza?
Upo sahihi Mkuu, ila wengi wao wana udhaifu mkubwa tu ktk lugha hiyo, hadi waliofika level za juu madigirii.Si watanzania wote wana udhaifu katika lugha ya kiingereza.
Upo sahihi Mkuu, ila wengi wao wana udhaifu mkubwa tu ktk lugha hiyo, hadi waliofika level za juu madigirii.
Labda uamue kuvaa miwani ya mbao.
Katibu wa kamati ya maadili ya tume ya uchaguzi Dr Kavishe amesema wawakilishi wa Chadema waliomwakilisha Tundu Lisu waliomba adhabu ipunguzwe na hii maana yake ni kuwa wamekiri kosa.
Kavishe amesema wajumbe wa kamati walibishana sana na hatimaye busara ilitumika kwa maslahi mapana ya taifa adhabu ilipunguzwa na kuwa kifungo cha kutofanya kampeni kwa siku saba (7)
Source: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Acha kutisha watu mataga weweLisu yeye anafikri anaogopwa na anajua kila kitu,
Asipoangalia atatolewa kwenye kampeni kabisa
grammar?Ajabu, nikueleze hapo juu habari ya mpangilio wa maneno ktk sentensi halafu niwe sikufahamu maana ya grammer.
Au mwenzangu huelewi maana ya grammer ktk lugha yako ya kibantu?
Uko sahihi kabisa wachache hawawezi kukosekana.Ndo nakufahamisha mkuu kwamba wapo watanzania ambao wana uwezo wa kuongea na huyo jamaa kiingereza kizuri na chenye grammar nzuri na wakaelewana uzuri tu.
Kingereza kimekosewaAcha kukimbia hoja, elezea makosa yake ya kilugha na kisha useme usahihi alitakiwa aandike vipi (kama kweli wewe umeiva English kihivyo kama unavyotaka kutuaminisha hapa jamvini)
Huyu ndiye Robert; amezaliwa New York (US), kakulia na kusomea Canada na anaishi London (Uingereza). Nchi zote hizo wanatafuna kiingereza, hakuna kiswahili wala lugha za kkkabila.
Halafu wewe mmakonde wa Ntwara (Uswahilini) wataka kujitia kumdogesha ktk lugha yake mama.
========
View attachment 1588557
Huo utakatifu wake feki feki lazima upigwe spana za kutoshaWala hamna haja ya kujikomba ,tunajua Mfumo mmbovu wa Nchi hii unampa nguvu Raisi alie Madarakani.Yeye hakosei ni malaika mkuu na mtakatifu sana .
Kutumia vyombo vya dola dhidi ya kibaraka ni baraka hata kwa MunguNa yule anayetumia police, nec na TISS ni kibaraka wa nani? Au matumizi ya vyombo vya umma kwa manufaa ya watu wachache ndo uzalendo?
Acha ujinga hakuna watanzania wenye ujasiri wa kupambana na mtutu bado hawajazaliwaMkuu tume inaweza kufanya hivyo,na je ikifanya hivyo what next, ? Je mafuriko ya watanzania kwake wakikataa mtaweza kuwazuia kwa njia gani!!!? lissu mpaka mda huu anajeshi kubwa la mafuriko ya watanzania ,unafikili ni chombo gani Cha ulinzi chaweza kukubali upuuzi Kama huu,watu hawalali juu ya nchi yao Leo eti tume ifanye mzaa wa kubet na amani ya nchi alafu waichekee,watakatalowa kweupe nakwambia , hao wanaviapo vyao juu ya nchi Wala sio chama chochote au mtu yoyote,japo kwa namna moja au nyingine wanaweza fanya fair tu kwa Mambo madogomadogo ila si maslahi mapana ya taifa
Sasa hapo unatetea nini kwa mfano...unajidhalilisha tuOnesha hayo makosa unayodai kama kweli wewe mweledi wa lugha, unakwama wapi ndugu yangu?
Kiingereza ni lugha pana, haiko finyu kama hivyo unavyoisawiri.
Na hata kama angekuwa kaandikiwa, basi jambo la awali ingekuwa ni yeye kupitia maandishi na kusahihisha lugha (kama kuna makosa). Hiyo (umakini) ni kawaida kwa wazungu ambao wamesomea fani nyinginezo, si kwambii mtu aliyesomea law na mashuhuri duniani kama huyo Robert umakini wake utakuwa juu kwa kiwango gani.
Mkuu kama ume note lisu siku hizi hata akiandika kitu mtandaoni anaandika kwa lugha ya kingereza! Unajiuliza huyu ana agenda gani?Lissu ana maagano gani na huyu jamaa na "wazungu"? Naanza kuwa na wasiwasi, ni hatari kama tutakubali kuchaguliwa kiongozi wa nchi na mataifa ya nje, haijalishi hata kama tuna hali mbaya kiuongozi kiasi gani.
Nlifikiri sasa hivi uko barabarani umekinukisha, kumbe unasubiri uatolewe jumla?Wamtoe ndio watanzania wataonyesha rangi zao vizuri. Muda wa kuwaogopa polisi ulishapita, haki itendeke na siyo NEC kubeba watu mgongoni.