Dkt. Kigwangalla aende Wizara ya Afya na Ummy Mwalimu apelekwe Utalii na Maliasili ili tuimalize Corona kwanza

Dkt. Kigwangalla aende Wizara ya Afya na Ummy Mwalimu apelekwe Utalii na Maliasili ili tuimalize Corona kwanza

johnthebaptist,
Labda kama unataka kumsafisha na kashfa ya kutafuna hela za umma bila kunawa , vinginevyo huyu alikuwa Naibu waziri wa Afya akaishia kuwafungia mageti watu walimfundisha Muhimbili saa 10 alfajiri , ili wakija saa 1 asubuhi wahesabike wamechelewa .

Hafai kwenye wizara yoyote
 
johnthebaptist,
Kwani mwanzoni alikuwa wapi? Hukuona akifunga hadi mageti watumishi wasiingie ndani? Akapambana na Mwaka yule jamaa anayejigamba kuwa anatiba asili za uzazi.

Tatizo hapo pesa ya kupambana na Corona ipo kiduchu ndo maana mipango ya wataalam haitekelezeki
 
Kisha uingie upi?
Watanzania tupo milioni 55 sasa Kama out of 55 people hatuwezi kupata mbadala wa hawa incompetent individuals basi corona itufyekelee mbali tu maana tutakuwa hatuna faida hapa duniani
 
Ebu toa pendekezo hiyo serikali itakua na kina nani kwa majina!
Mmoja wao ni Mimi hapa,nina master degree,ninauzoefu wa kufanya kazi including management ndani na nje ya Tanzania,nina exposure ya ndani na nje ya nchi, na nina hakika ukitupima IQ,Magufuli anasubiri
 
Mimi nadhani ukimtoa waziri mkuu, mawaziri wote wangekuwa wanawake..maana wanawake wakishindwa kufanya kazi vizuri hawaibi mali za wananchi.

Lakini hawa mawaziri wanaoteuliwa jinsia ya kiume wengi ni HATARI, WEZI, WANAFKI, WAONGO, vurugu tupu
 
Back
Top Bottom