johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mtaji umeukalia, nasema hivi vijana unganeni tengenezeni proposal ya mradi, fedha zipo ndani ya halmashauri zenu kadhalika kwenye mabenki kwa riba nafuu kabisa.Mtaji kapata kazini huyo! Vijana mitaji watapata wapi?
MhhhhhhWatu wenye akili tunajua Dr.Kigwangwala yuko busy kwa sasa kufungua miradi yenye lengo la kutakatisha pesa alizopiga akiwa waziri wa utalii ili huko mbele ya safari tusijiulize kapata wapi pesa. Ni mbinu za kawaida sana za watawala na wanasiasa.
Kama huamini subiri utaona.
Aliombwa na wananchi!Sasa mbona aligombea ubunge?
Ndio huko huko!Huko K/Mtongani si ndo kunakozama nyumba sijui volcano ya tope watu wakaambiwa waondoke?
Uchafu wake umeujuaje?Alivyo mchafu ayo maziwa mmh
Great thinker.Mtaji kapata kazini huyo!. Vijana mitaji watapata wapi?
Mimi nakula pensheni yangu bwashee.Na wewe anza kufuga hata mang'eng'e upunguze kutuleta nyuzi nyepesi hapa jukwaani.
Nani kakwambia kwetu Moshi? Nipo Kinegembasi hapa naandaa mashamba yanguMimi nakula pensheni yangu bwashee.
Huko Moshi umejiandalia shamba la nguruwe?... Chadema ndio imekufa hiyo.
Unamfahamu Dr Mwandulami wa hapo Wangama?Nani kakwambia kwetu Moshi? Nipo Kinegembasi hapa naandaa mashamba yangu