Dkt. Kigwangalla afungua duka la maziwa Kunduchi Mtongani, asema sasa anajikita kwenye ufugaji

Dkt. Kigwangalla afungua duka la maziwa Kunduchi Mtongani, asema sasa anajikita kwenye ufugaji

Wengi mawaziri walikurupuka hivi. Miaka mitano tu chalii sababu fedha wanazowekeza hazina stream toka kwao bali serikali.
 
Za madawati na madarasa zikosekane, lakini za mitaji zipatikane. Punguza kuamini wanasiasa mkuu
Mkuu alichoongea Ni kweli sisi hapa Ni wanakikundi na mwaka Jana tulipewa 9m na marejesho yetu yanakaribia kuisha ili tuombe Ela nyingine mnadharau Sana ndo maana na hizo Ela lazima 10% itengwe kwa ajili ya vikundi na mm Ni mwanakikundi tuliokabidhiwa hizo ela.
 
Watu wenye akili tunajua Dr.Kigwangwala yuko busy kwa sasa kufungua miradi yenye lengo la kutakatisha pesa alizopiga akiwa waziri wa utalii ili huko mbele ya safari tusijiulize kapata wapi pesa. Ni mbinu za kawaida sana za watawala na wanasiasa.

Kama huamini subiri utaona.
Umenena mkuu...
 
Kwani walioajiriwa na Mo Dewji wana njaa?
* Msahara wa mbunge ni Tsh mil 4.6

*Posho ya mbunge kila mwezi ni Tsh mil 8

*Posho ya kujikimu kwa siku ni Tsh 120, 000.

*Posho ya kukaa kikao kimoja cha bunge ni Tsh 200, 000

Mafao ya mbunge baada ya miaka 5 ni Tsh mil.250.

Kwa Mo hii labda anapata MD peke yake lakini tofauti na hapo hakuna wa kufikia huu mzigo
 
Alivyo mchafu ayo maziwa mmh
Teh teh teh teh,, kama juzi nimecheka sana kuona mbaba mmoja anajidai kukamua maziwa kutoka kwa ng'ombe bila kunawa! Nilishangaa sana maana Usukumani haturuhusiwi kukamua bila kunawa. Kati ya vimiminika vinavyoakisi uchafu wa aina yoyote kwa haraka kabisa ni maziwa! Mzee baba aache usanii kwenye maziwa!!
 
Mtaji umeukalia, nasema hivi vijana unganeni tengenezeni proposal ya mradi, fedha zipo ndani ya halmashauri zenu kadhalika kwenye mabenki kwa riba nafuu kabisa.
True!

Sometimes wabongo tunalalamika mno wakati hta fursa chache tulizonazo tumeshindwa kuzitumia ipasavyo.
 
Habari bila picha/video sawa na taka taka tu
 
Maisha yanaenda kasi sana leo waziri kesho Muuza maziwa mwisho tutasikia ameajiriwa na Mo Dewji!

Kila kitu kinawezeka!! Nakumbuka marehemu Mayagilla aliyewahi kuwa waziri wa kilimo huko nyuma, baada ya kuchacha aliajiriwa na hao wahindi!!! Na walimdhalilisha sana marehemu mwalimu wangu , akaona isiwe taabu mhehe wa watu akaishia kujipiga risasi!! Hao wahindi muwaone hivyo hivyo watawapenda pale tu wanapowatumia kwa faida yao.
 
Yes mkuu fedha za halmashauri hazina riba yoyote unaweza pewa 10m baada ya mwaka ukarudisha hizohizo na kabla haujaanza kurejesha unapewa grace period ya miezi mitatu ndipo unaanza kurejesha na sisi hapa tulishakua na marejesho tumeshamaliza tunasubiria awamu nyingine.
Mlolongo wa kuipata yaweza kuchukua hata miezi 6 bora kuangaika kwingine
 
haya maneno alisema motivation speaker mmoja..
 
haya maneno alisema motivation speaker mmoja..
 
Mtaji umeukalia, nasema hivi vijana unganeni tengenezeni proposal ya mradi, fedha zipo ndani ya halmashauri zenu kadhalika kwenye mabenki kwa riba nafuu kabisa.
Kwa hiyo aache kuukalia apakatwe
 
Back
Top Bottom