Dkt. Kigwangalla afungua duka la maziwa Kunduchi Mtongani, asema sasa anajikita kwenye ufugaji

Hata mm ningefanya hivyo hivyo.....
kwa lengo la kusaka utajiri
 
Afadhali yeye anao mtaji ila vijana wanavyeti tu hawana ajira wala mtaji,

Sijui alifanya nini kuwapigania alipokuwa waziri kuhakikisha kuwa mazingira ya kujiajiri yanakuwa mazuri na ajira nayo inapatikana,

Otherwise tunamshukuru kwa kututambia duka lake.
 
Mtaji umeukalia,nasema hivi vijana unganeni tengenezeni proposal ya mradi ,fedha zipo ndani ya halmashauri zenu kadhalika kwenye mabenki kwa riba nafuu kabisa
Tupeane mrejesho wewe ulivyoenda kuchukua pale halmashauri kwenu
 

It makes sense.
 
Maisha yanaenda kasi sana leo waziri kesho Muuza maziwa mwisho tutasikia ameajiriwa na Mo Dewji!

Mo hawezi kumuajiri tajiri mwenzie hamis ambaye inasadikika ana kiwanda mwanza na chuo cha afya nzega?
 
Mkuu acha kusema ukweli
 
Mtaji umeukalia,nasema hivi vijana unganeni tengenezeni proposal ya mradi ,fedha zipo ndani ya halmashauri zenu kadhalika kwenye mabenki kwa riba nafuu kabisa
Yes mkuu fedha za halmashauri hazina riba yoyote unaweza pewa 10m baada ya mwaka ukarudisha hizohizo na kabla haujaanza kurejesha unapewa grace period ya miezi mitatu ndipo unaanza kurejesha na sisi hapa tulishakua na marejesho tumeshamaliza tunasubiria awamu nyingine.
 
Mtaji umeukalia,nasema hivi vijana unganeni tengenezeni proposal ya mradi ,fedha zipo ndani ya halmashauri zenu kadhalika kwenye mabenki kwa riba nafuu kabisa
Kwenye benki sijajua Ni benki gani inaweza kopesha vikundi bila dhamana yoyote labda unisaidie mkuu.
 
Mwambie tunawakumbuka Ng'ombe wa Wasukuma waliokamatwa pori la Lwafi mkoani Katavi, aliowapora na kujimilikisha baada ya kukamatwa hifadhini na kusafirishwa usiku kwenda kufichwa kwa rafiki yake Salum Sumry mmiliki wa zamani wa mabasi ya SUMRY ambaye kwa sasa ana shamba linaloitwa MSIPAZI FARM huko wilaya ya Nkasi Rukwa na kisha kusafirishwa kama Ng'ombe wanaopelekwa mnadani Pugu kumbe wanachepushwa kwenda kwenye shamba lake Mvomero. Viongozi wa CCM waendelee kudhulumu wananchi huku wakijifanya Watakatifu.
 
Mtaji umeukalia, nasema hivi vijana unganeni tengenezeni proposal ya mradi, fedha zipo ndani ya halmashauri zenu kadhalika kwenye mabenki kwa riba nafuu kabisa.
Sjui huwa mnapata wapi ujasiri wa kuongea huu uharo , sometyme maneno yenu huwa ni dhihaka Sana Kwa vijana wanaosota mtaani, mnafikri kama wanatania ...Ila bas tu....Mungu atawafanyia wepesi vijana wanaotaabika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…