Dkt. Kigwangalla afungua duka la maziwa Kunduchi Mtongani, asema sasa anajikita kwenye ufugaji


Hivi kuna kiongozi wa CCM mwenye mali halali?
 
Sjui huwa mnapata wapi ujasiri wa kuongea huu uharo , sometyme maneno yenu huwa ni dhihaka Sana Kwa vijana wanaosota mtaani, mnafikri kama wanatania ...Ila bas tu....Mungu atawafanyia wepesi vijana wanaotaabika
Mkuu Ni kweli aliyoyaongea we Cha kufanya undeni kikundi nenda halmashauri watawapa ushauri nn Cha kufanya
 
Pesa na mtaji siyo shida kwake
Anaweza kufungua biashara yoyote ile
Haya sasa mwenzangu na mimi jaribu ufanye
Wewe sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Ni kweli aliyoyaongea we Cha kufanya undeni kikundi nenda halmashauri watawapa ushauri nn Cha kufanya
Halmashauri Tanzania zimekuwa kama Jalala. Kila siku zinaporwa vyanzo vya mapato halafu vinatakuwa kuhudumia watu.

Halmashauri choka mbaya, hazina kitu. Ukienda sana sana mtaambiwa sajilini kikundi - mpaka mnamaliza baada ya miezi 6, inawacost mpaka Tsh 300,000 hakafu mkopo mkifanikuwa kupewa ni Tsh LAKI TANO 🤣🤣
 
Mkuu umemaliza kila kitu, wengine wachangie kusisimua mada.

NB: Vaa barakoa, kaa mbali na mikusanyiko, osha mikono kwa sabuni au tumia kitakasa mikono.
 

“Kahama Fresh”
 
Mtaji umeukalia, nasema hivi vijana unganeni tengenezeni proposal ya mradi, fedha zipo ndani ya halmashauri zenu kadhalika kwenye mabenki kwa riba nafuu kabisa.

Za madawati na madarasa zikosekane, lakini za mitaji zipatikane. Punguza kuamini wanasiasa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…