Dkt. Kigwangalla: Mashine ya nyungu iliyo Muhimbili ivunjwe, viongozi wavae barakoa

Kwa nini haya hakuyasema mwanzo?

Binadamu tumejaa unafiki wa hali ya juu......
Wanafiki ni wengi na bado wanakuja.
Sema wilikuwa na jinamizi kipindi kile. Ndoto za kutisha, hata mashujaa walitahayari.. panya wataendelea kutoka shimoni
 
Na ww uache kupotosha watu humu..... Imegandisha watu wangapi kati ya watu million 17 waliodungwa??

Pia ni lini mlikataza kutengeneza chanjo yenu? Kwani huko china au India wanasubiri chanjo za oxford?

Mbona kuna nchi za Africa zinapigania patent ili watengeneze chanjo zao wenyewe. Nani alikukataza??

Ni ujinga kuwa na maprofessor wa Virology hapa Tanzania badala watafute chanjo na wao wapo mstari wa mbele kushauri tule malimao pekee!! Sasa kama ni hivyo kulikua na haja gani ya kuwa na hospitali? Si tutumie tiba mbadala tu
 
Mfano wa ualimu hauwezi kuwa applicable kwenye mjadala huu,

Ualimu ni taaluma ila siasa sio taaluma ile ni sanaa tu.
 
Ni mnafiki mno! Mambo mengine ni bora ukae kimya kama ulivyo kaa kimya ulipoona haifai ukakaa kimya tena uliunga mkono bila kushinikizwa na hata kushauri hoteli za kitalii ziwekewe nyungu! Shame on you!

Pale muhimbili ipo taasisi ya tiba asili ambayo imesheheni wataalam ambao kazi kubwa ni kutumia sayansi ili kuifanya tiba asili salama. Hao ndio waliokuja na hili na Rais JPM aliwapa nguvu tu. Kesho tutasmbiwa hata ile dawa ya NIMR ni upumbavu tu!

Hili Taifa limezalisha vijana wengi wajinga sana. Mpaka sasa binafsi naunga mkono mbinu za JPM kupambana na Corona ukitoa udhaifu wa kuhimiza watu wetu waishi kwa tahadhari kama sehemu ya tiba.

Tunasubiri kuona rangi zao. Mbona bado mapema! Mtashangazwa sana! Rest in peace JPM!
 
Dah nimekaa nafiria Zaid ya masaa kadhaa ivi mpaka Sasa sijapata Majibu kama kwel ama Naota

Uyu mzee sio wa kumuamin hata Mke wake Akae nae kwa Umakin mkubwa bado najiuliza how
Mbona bavicha wengi tu wanasema sasa hivi ni jembe maana kwa mtqzamo wao kawa mkweli? Yaani kasema wanachopenda
 
Kwa hiyo tunaanza kukubaliana kwamba kulikuwa na UDIKTETA kwenye hii nchi, kwamba ilikuwa ukisema yasiyompendeza MTAKATIFU adhabu inakuandama, Lissu alikuwa sahihi.
Yes, tunaanza kukubalina taratibu
 
Ilifungwa kwa Gharama zipi na nani aliidhinisha hilo fungu,mkandarasi nk.?Kwanza...
 
Rais Samia awe macho na wanafiki kama huyu Hamisi Kigwangala ! Hana lolote anatafuta attention na kucheza na upepo tu! Anataka Mama amtoe Dr.Gwajima amuweke yeye kwenye Wizara ya Afya! HAFAI KABISA!
Ni Mara 1000 ,atolewe Dr.Gwajima awekwe Dr. Faustine Ndugulile pale!
Dr.Ndugulile ndiye akiyepinga mambo ya Nyungu tangu Rais Magufuli akiwa hai!
Huyu CHAWA Kigwangala alikuwa anasifia tu leo " Mungu " wake afe ameshamkana asbh na mapema.
Ebu aonyeshe picha za barakoa alizokuwa anavaa Magufuli akiwa hai.
Hamisi ni mnafiki na mchumia tumbo mbaya sana! Utadhani kachizi mambo yake hovyo hovyo hata aibu hana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…