Dkt. Kigwangalla: Mashine ya nyungu iliyo Muhimbili ivunjwe, viongozi wavae barakoa

Angekuwepo mngesema haya? Nyie mnataka hayati mumfufue kabla hata maua hayajakauka..!
 
Ipo siku UV CCM wataseka magufuli walikuwa Rais wa Ovyo kuliko wote. Ngoja muone ni suala la muda tu.
Rej. Maneno ya Heri James kuomba Radhi kwa jiaba yao
 
Daaah!! hii dunia ni balaa tupu.Watanzania ni watu wa kipekee kabisa
 
Ila kigwangala ana unafiki sana huyu mchunga ng'ombe wa Tabora, anaaibisha sana jamii ya wafugaji. Kwa mwaka mzima na miezi since COVID19 imeanza alikua anatetea ugali na kuudanganya umma ili abaki kua Waziri, kibaya zaidi this ignorant imbecil is a Doctor aisee, na ni kiongozi ana wananchi wanamtegemea afikishe maendeleo jimboni "smdh"

Kigwangalla wewe bado kijana, huu upumbavu wa aina yako hatutausahau ipo siku tutakubana vizuri kwenye majukwaa huko (only if you'll still get those multiple opportunities to be on one kabla haujafyekwa nafasi huko Chamani kwenu) utueleze ulitoa wapi ujinga ulokua nao Pre March 2021 mana ni kama ulikua possessed na mapepo.
 
Dr Ngungulile ndiye shujaa, alisema madhara ya kujivukiza katika mfumo wa hewa. Mwendazake akamtumbua.
 
Huu ndio uhuru wa watoto wa Mungu. Mazingira yanapobadilika mambo mengi hubadilika pia.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nikusaidie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji6][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo tunaanza kukubaliana kwamba kulikuwa na UDIKTETA kwenye hii nchi, kwamba ilikuwa ukisema yasiyompendeza MTAKATIFU adhabu inakuandama, Lissu alikuwa sahihi.

Mkuu hapana sababu Kuuu huyo jamaa alipigwa Chini Uwaziri full stop
 
Ni msee..Kati ya misimamo michache ninayokubaliana na hayati ni huu,au hata kama ikiletwa isiwe mandated...kwanza hawana hata uhakika inaweza ikazuia variants zote
 
Huyu jamaa kapitiliza kwenye unafiki, hana kazi nyingine ya kufanya zaidi ya siasa??
 
Msimshambulie sana maana watu wengi walikuwa robots kipindi cha JPM. Ubongo ulifanyiwa modification kuendana na amiri jeshi.
 
Kama Mashine hii ikivunjwa isivunjwe mashine tu bali na wizara ya Afya na hizo pesa zilizoitengeneza watu wakatwe kwenye mishahara yao
 
Kama Mashine hii ikivunjwa isivunjwe mashine tu bali na wizara ya Afya na hizo pesa zilizoitengeneza watu wakatwe kwenye mishahara yao
Mama anachelewa kutoa kadi nyekundu wizara ya afya.
 
Politics, especially here in Tanzania, is sometimes about making fun or a fool of yourself in order to make a living, impress your boss, getting an appointment or being promoted regardless of your oath, profession or even one's religious belief.

Tuna hasara sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…