Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dr Ngungulile ndiye shujaa, alisema madhara ya kujivukiza katika mfumo wa hewa. Mwendazake akamtumbua.Msimshambulie Hamis. Alichofanya ni kujitoa muhanga tu na "kumfunga panya kengele" maana members wengi kwenye cabinet wana mawazo kama yake ilia hawana guts za kutoka na kusema. Hamis kwa kuwa sasa sio Waziri, he dont have much to lose, atleast for now
Huu ndio uhuru wa watoto wa Mungu. Mazingira yanapobadilika mambo mengi hubadilika pia.Mbunge wa Nzega Mjini, Dkt. Hamis Kigwangalla ameshauri mashine ya kujifukizia iliyowekwa Hospitali ya Muhimbili ivunjwe na watu wafauate hatua za kujikinga na #COVID19 ikiwemo kupata chanjo.
Kigwangwalla amesema wataalamu wa Afya wana jukumu la kumshauri Rais Samia na yeye kama mbunge watalizungumza bungeni ili kuanza kufuata njia za kisayansi.
Amesema si sawa kwa taasisi kubwa kama Muhimbili kuwa na mashine za kupiga nyungu, ni muhimu watu kufuata hatua a afya kama kuvaa barakoa nk
===
Alafu familia yake jeKwa nini haya hakuyasema mwanzo?
Binadamu tumejaa unafiki wa hali ya juu......
Nikusaidie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji6][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa hiyo tunaanza kukubaliana kwamba kulikuwa na UDIKTETA kwenye hii nchi, kwamba ilikuwa ukisema yasiyompendeza MTAKATIFU adhabu inakuandama, Lissu alikuwa sahihi.
ofcourse. ni mwanasiasa. thats his jobHuyu jamaa kapitiliza kwenye unafiki, hana kazi nyingine ya kufanya zaidi ya siasa??
Mama anachelewa kutoa kadi nyekundu wizara ya afya.Kama Mashine hii ikivunjwa isivunjwe mashine tu bali na wizara ya Afya na hizo pesa zilizoitengeneza watu wakatwe kwenye mishahara yao
Politics, especially here in Tanzania, is sometimes about making fun or a fool of yourself in order to make a living, impress your boss, getting an appointment or being promoted regardless of your oath, profession or even one's religious belief.Kingwangala mnafiki sana kuliko shetani, huyu huyu alikuwa ameandika insta kuwa the Late JPM anamlilia sana na hakuna kiongozi kama Magu, akataja sifa lukuki ikiwemo alikuja kumuona akiwa mgonjwa, mara alimpa ndege alipofiwa na mtoto wake, leo hata maombolezo hayajaisha kashamgeuka, mnafiki hana tabia za kujificha, unafiki huwa unaonekana wazi wazi.. Hivi ndio inafaa Mama Samia aangalie hawa watu awajue, who is who.. Kifo cha Magu kinawaonyesha wengi sura zao halisi. Kaa mbali na wanafiki