Dkt. Kigwangalla: Mashine ya nyungu iliyo Muhimbili ivunjwe, viongozi wavae barakoa

Dkt. Kigwangalla: Mashine ya nyungu iliyo Muhimbili ivunjwe, viongozi wavae barakoa

Ndio tujue aina ya wanasiasa tulionao as a country,
Na tufaham Dr Magufuli alikua amezungukwa Na wanafiki kiasi gani,
Kama nchi inabidi tupate viongozi bora na sio hawa wanasiasa!
 
Utamwaminije binadamu mwenzio?

Hata wewe hakuna anayekuamini unajidanganya tu!
 
View attachment 1742973

Mbunge wa Nzega Mjini, Dkt. Hamis Kigwangalla ameshauri mashine ya kujifukizia iliyowekwa Hospitali ya Muhimbili ivunjwe na watu wafauate hatua za kujikinga na #COVID19 ikiwemo kupata chanjo.

Kigwangwalla amesema wataalamu wa Afya wana jukumu la kumshauri Rais Samia na yeye kama mbunge watalizungumza bungeni ili kuanza kufuata njia za kisayansi.

Amesema si sawa kwa taasisi kubwa kama Muhimbili kuwa na mashine za kupiga nyungu, ni muhimu watu kufuata hatua a afya kama kuvaa barakoa nk

View attachment 1742982
Hana lolote, angekuwa bado ni wa waziri kipindi zinawekwa lazima angekwenda kufukizwa, hebu atulie tuna mengi ya kufanya
 
Ipo siku UV CCM wataseka magufuli walikuwa Rais wa Ovyo kuliko wote. Ngoja muone ni suala la muda tu.
Rej. Maneno ya Heri James kuomba Radhi kwa jiaba yao
Dahh..yani tulikuwa tukileta hoja pinzani hapa wanatukana vibayaa...

Ila Mungu anawaona.

Mzimu wa Magu Utawamaliza.
 
Na wewe unampoteza mwenzio.... Politics ni science ya governance na humo ndani kuna international relation, public administration, political economy etc.

Na political science career yake mfano mtu anatafuta team ya negotiations, Diplomats, Strategists hapo watu wa political science wana apply. Ni sawa tu na useme economics ana apply kazi ya economist?? Hapana ila ikitokea mtu wa forecasting, Pricing, Business strategy etc anahitajika obviously mtu aliyesomea economics ata apply.

That's all
Nilichokiandika kwa kiswahili umekirudia kwa kingereza mfano nimetaja utawala wewe ukatumia neno governance,

Politics is just an art to influence people to follow the ruler ndio maana mtu yeyote mwenye taaluma yeyote anaweza kuwa politician.
 
Hoja yako haijitoshelezi! Ungeweka facts hapa kwa nn asiaminiwe!

Huwezi sema usimwamini mtu fulani bila reasons yoyote na akakuelewa! Eleza ni kwanin tusimwamini, ndo tutapima maelezo yako yana mashiko au hayana!!
hana instinct...hawez kusimama na anachokiamini kwa lugha nyingine ni vuguvugu...hana msimamo
 
Mnaosema ni mnafiki mimi napinga,Jiwe alibana sana uhuru wa ku express opinion,kaondoka watu wanapumua,i agree with you KIgwangala
 
Wenda hayati alikua na mawazo mazuri juu ya kukabiliana na hili janga ikiwemo kufanya utafiti juu ya chanjo zinazo kuja nnchi lakini kwa kuzungukwa na wasaliti na watu wasio na uzalendo kama kigwangala kutachangia sisi kupokea chanjo za hisani mana iyo oxford astrazeneca inawagandisha damu adi walio itengeneza
 
Kuna watu wanasema Dr Kigwa ni mnafiki, ndio! anapashwa kuwa mnafiki kwa sababu mwanasiasa popote alipo amehitimu shahada ya unafiki ndani yake.

Kama kuna mwanasiasa ambaye siyo mnafiki mleteni hapa tumtunuku shahada ya heshima. Mwanasiasa anapokuwa kwenye interest zake za kisiasa anasimama upande wa tumbo lake, lakini anapoona yupo njia panda ubongo wake hurejea na kuanza kutumia akili yake ya kuzaliwa kadri alivyojaliwa na Mwenyezi Mungu. Kwa hiyo Dr. Kwiga, yuko sahihi kabisa.

Sent from my Redmi Note 3 using JamiiForums mobile app
 
1617533874700.png


Teknolojia haisahau, bora angefuta kwanza hii tweet
 
Dah nimekaa nafiria Zaid ya masaa kadhaa ivi mpaka Sasa sijapata Majibu kama kwel ama Naota

Uyu mzee sio wa kumuamin hata Mke wake Akae nae kwa Umakin mkubwa bado najiuliza how
Dr Nchemba, waziri mpya wa fedha nenda kachape kazi kweli kweli watanzania walio wengi wanakutegemea na wanajua makusanyo yatapanda kutoka Trillion 1.3 ya sasa hadi Trillion 2 kwa mwezi, hii itatuhakikishia sisi watanzania miradi yetu mikubwa ya kimkakati kuendelezwa na kumalizwa kabisa.

Watanzania tunataka SGR , BWAWA LA NYERERE, UMEME KILA KIJIJI, HUDUMA ZA AFYA KUBORESHWA, BARABARA ZA LAMI KILA KONA, tusipoona haya hatutakuelewa.

Dr Nchemba usiende kuingia kwenye mtego wa wafanyabiashara wakwepa kodi wanaotaka uwafutie kodi zote alafu hizo kodi uwarundikie watanzania masikini mama ntilie na machinga kama ilivyokuwa zamani unakuta mfugaji au mkulima analipa kodi 10 ili amfikishe Ng'ombe wake mnadani, hatutarajii hili kutokea.
Dr Nchemba umejionea mwenyewe ulivyotukanwa na kuchambwa sana baada ya uteuzi wako na wakwepa kodi ( Chadema) wasiolitakia mema taifa hili kwao hata miradi yote ikikwama ni sawa tu, kwa hiyo hao siyo wenzako, hata siku moja usije kusikiliza ushauri wao. Hao ni nyoka kwa taifa hili.

Dr Nchemba kwa miaka mitano iliyopita hatujaona waziri wetu wa fedha akizunguka kuombaomba Ulaya ,kwa hiyo hatutarajii kukuona kila siku upo uwanja wa ndege unaenda kutembeza bakuri.

Dr Nchemba kwa miaka mitano iliyopita tumeambiwa Tanzania ni tajiri na watanzania tunaweza , hatutarajii waziri wetu mpya uanze kuimba Tanzania ni masikini na hatujiwezi kwa lolote ,ukifanya hivyo watanzania hatutakuelewa
 
Nilichokiandika kwa kiswahili umekirudia kwa kingereza mfano nimetaja utawala wewe ukatumia neno governance,

Politics is just an art to influence people to follow the ruler ndio maana mtu yeyote mwenye taaluma yeyote anaweza kuwa politician.
Tatizo unachanganya politics as a discpline/profession ama politics as a career.

Mfano kila mtu anaweza fanya biashara je ina maana waliosomea Business Administration wamepoteza muda?

Kinadharia kabisa ilipaswa vyama vya siasa na mashirika ya umma yaongozwe na watu wenye background ya political science (Public administration & public relation) ili waweze kuongozwa kiprofessional kabisa.

Na ndio maana kuna chuo kikuu hapa TZ kimetoa diploma ya education kwa tutors na lecturers wake sababu imegundua wanaofundisha chuo kikuu hawana basics za UALIMU yaani kasome tu udaktari kisa ana GPA kubwa eti afundishe. Hapo professionalism hamna ila PRACTICE inakuwepo.

So tutenganishe practice na discipline
 
Back
Top Bottom