Dkt. Kigwangalla: Tulichongewa tulisimangwa na tulisingiziwa na kunyanyaswa lakini nashukuru Rais Samia ameujua ukweli

Dkt. Kigwangalla: Tulichongewa tulisimangwa na tulisingiziwa na kunyanyaswa lakini nashukuru Rais Samia ameujua ukweli

Katika maisha yote ya siasa sijawahi ikubali hii TAKATAKA

Kwanza iliugua unyafuzi utotoni kwake.
 
Aseme kama hakukodi Hoover imtembeze Mbugani yeye na wahuni wenzie kuangalia pundamilia?Au,hakuwalipa wahuniwahuni kufanya matangazo ya utalii kitapeli?
exactly, nililenga huko. hli jitu takataka inabidi lipelekwe mahakamani ndipo akili italikaa sawa
 
Hana akili hyo mjinga anaongelea statement ya hangaya dhidi ya Waziri wa kilimo.

Dogo alikua anataka am drive Prof akiwa katibu mkuu maliasili.
Prof kamgomea na kapigwa chini yeye
Hahahaaaa......... Wewe una akili sana bwashee.

Kigwangalla anamchukia sana Prof Mkenda!
 
Mbunge wa Nzega vijijini Kigwangalla ameandika kwenye ukurasa wake twitani kwamba, Tulionewa Tulisimangwa, Tulisingiziwa na Kunyanyaswa na watu waliokuwa na access lakini sasa mambo yao yako wazi tena yana ushahidi. Namshukuru Rais Samia kwa kuliona hilo.

Kiukweli Lumumba moto unawaka sawia na Ufipa.

Dominica njema!
Watafuta madaraka ni wengi mno. Hata aibu hakuna sasa ni waziwazi tu
 
Nakumbuka sana bifu yake na Prof. Mkenda alipokuwa Katibu Mkuu wa Maliasili. Siku hazilingani. Aliye juu atashuka chini na aliye chini atapanda juu. Leo hii Prof. Mkenda ni Bosi wake apende asipende.
 
Nakumbuka sana bifu yake na Prof. Mkenda alipokuwa Katibu Mkuu wa Maliasili. Siku hazilingani. Aliye juu atashuka chini na aliye chini atapanda juu. Leo hii Prof. Mkenda ni Bosi wake apende asipende.
Ndio anamfanyia figisu ili atumbuliwe!
 
Screenshot_20211205-144302.png
 
Back
Top Bottom