johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mie nimewaza Mkapa kamaliza kuandika akazindua tu, then in a year or two he was no more...Natamani kuyajua ya boys2men toka kwenye hicho kitabu
Urafiki, uswahiba na kinachoonekana kama usaliti
Hata Reginald Mengi ilikua hivyo hivyo😥😥Mie nimewaza Mkapa kamaliza kuandika akazindua tu, then in a year or two he was no more...
We mama Unataka uwe mhariri kwenye kitabu chake?Natamani kuyajua ya boys2men toka kwenye hicho kitabu
Urafiki, uswahiba na ukweli wa kinachoonekana kuja kuwa usaliti baina yao
Hapana, nataka kusoma nisiyoyajua kama alivyosemaWe mama Unataka uwe mhariri kwenye kitabu chake?
KwambaMie nimewaza Mkapa kamaliza kuandika akazindua tu, then in a year or two he was no more...
Inaweza kuwa style mpya ya kuaga.Hata Reginald Mengi ilikua hivyo hivyo[emoji26][emoji26]
Vitabu ni urithi mzuri sana kwa vizazi vijavyo. Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amelifanyia mengi taifa hili. Mbali na kuwa rais kwa kipindi cha miaka10 amehudumu kwenye serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania tangu akiwa kijana.Kikwete nae anataka kutubu
Mungu amuepushie mbali, ampe maisha marefu zaidiInaweza kuwa style mpya ya kuaga.
Ni jambo jema, lakini atakumbushia kuhusu yule jamaa aliyetaka kumbwaga jukwaani 2005 pale Ccm kirumba?Rais mstaafu wa awamu ya 4 mh Mrisho Jakaya Kikwete amesema kwa sasa anaandika kitabu cha historia ya maisha yake ambacho kitaelezea mambo aliyoshiriki, aliyoyashuhudia na aliyoyaona katika maisha yake binafsi na yale ya siasa...
Umewaza kama mimi.Mie nimewaza Mkapa kamaliza kuandika akazindua tu, then in a year or two he was no more...