Dkt. Kikwete: Ninaandika kitabu cha historia yangu ambacho ninaelezea mambo mengi hata yale msiyoyajua!

Dkt. Kikwete: Ninaandika kitabu cha historia yangu ambacho ninaelezea mambo mengi hata yale msiyoyajua!

Vitabu ni urithi mzuri sana kwa vizazi vijavyo. Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amelifanyia mengi taifa hili. Mbali na kuwa rais kwa kipindi cha miaka10 amehudumu kwenye serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania tangu akiwa kijana...
Bora ya mtuhumiwa wa ufisadi ana utu kuliko fisadi
 
Rais mstaafu wa awamu ya 4, Mh. Mrisho Jakaya Kikwete amesema kwa sasa anaandika kitabu cha historia ya maisha yake ambacho kitaelezea mambo aliyoshiriki, aliyoyashuhudia na aliyoyaona katika maisha yake binafsi na yale ya siasa...
Safi sana Mzee Kikwete
 
Tangu tusikie juu ya kitabu hiki ni miaka kadhaa imepita. Bado tu hakitoki? Uandishi ni uwezo na karama. Kama huna ni busara kukaa kimya. Kikitoka tutakiona.
Sio KILA mwenye kitabu kaandika wapo wenye Kazi zao unawapa stori tu
 
Huwa hawaandiki mambo ya ukweli wa ndani, sana sana hurudia yale yale na tusiyoyajua yasiyo na tija yoyote.
Unataka kujua mambo ya ndani ya binadamu mwenzio
 
Back
Top Bottom