Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Hivi ingekuwa uchaguzi wa rais 2020 Kikwete na Magufuli kura ungempa nani?Mungu amuepushie mbali, ampe maisha marefu zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ingekuwa uchaguzi wa rais 2020 Kikwete na Magufuli kura ungempa nani?Mungu amuepushie mbali, ampe maisha marefu zaidi
Bado ningempa John Pombe MagufuliHivi ingekuwa uchaguzi wa rais 2020 Kikwete na Magufuli kura ungempa nani?
Kitabu hakijatoka tu toka aseme anaandika?!Rais mstaafu wa awamu ya 4 mh Mrisho Jakaya Kikwete amesema kwa sasa anaandika kitabu cha historia ya maisha yake ambacho kitaelezea mambo aliyoshiriki, aliyoyashuhudia na aliyoyaona katika maisha yake binafsi na yale ya siasa.
Kikwete amesema hayo wakati wa mahojiano na mwandishi Salama Jabir katika kipindi cha Salama leo.
Chanzo: Eatv.
Maendeleo hayana vyama!
Amekula chumvi nyingi muache ajiandalie uchuro wakeRais mstaafu wa awamu ya 4 mh Mrisho Jakaya Kikwete amesema kwa sasa anaandika kitabu cha historia ya maisha yake ambacho kitaelezea mambo aliyoshiriki, aliyoyashuhudia na aliyoyaona katika maisha yake binafsi na yale ya siasa.
Kikwete amesema hayo wakati wa mahojiano na mwandishi Salama Jabir katika kipindi cha Salama leo.
Chanzo: Eatv.
Maendeleo hayana vyama!
Aisee kheri ya mwaka mpya!! Long time no see youWe mama Unataka uwe mhariri kwenye kitabu chake?
Anajichulia mwenyewe JKKwamba
Mazungumzo hayakuwa na ujumbe maalumu ni kupiga story tu.Kwani mazungumzo yalikua yamhusu Rais Magufuli au
Nafikiri tunatakiwa kuwa na hii mentality..Mie nimewaza Mkapa kamaliza kuandika akazindua tu, then in a year or two he was no more...
Amelitafuna sana taifa hili. Ni basi tu hatuna misingi mizuri ya sheria ndo maana bado yupo uraiani. Otherwise asingekuwa uraiani. JPM iwe 10 tenaVitabu ni urithi mzuri sana kwa vizazi vijavyo. Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amelifanyia mengi taifa hili. Mbali na kuwa rais kwa kipindi cha miaka10 amehudumu kwenye serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania tangu akiwa kijana.
Kwangu mimi JK anabaki kuwa shujaa aliyeweza kutegua mtego wa kumuingiza mtuhumiwa wa ufisadi ikulu na kutuletea Chuma JPM💪
Naamini kuna vingi tutajifunza kupitia kitabu chake
Mungu ampe maisha marefu yenye afya na furaha tele Jakaya Kikwete
Rais mstaafu wa awamu ya 4 mh Mrisho Jakaya Kikwete amesema kwa sasa anaandika kitabu cha historia ya maisha yake ambacho kitaelezea mambo aliyoshiriki, aliyoyashuhudia na aliyoyaona katika maisha yake binafsi na yale ya siasa.
Kikwete amesema hayo wakati wa mahojiano na mwandishi Salama Jabir katika kipindi cha Salama leo.
Chanzo: Eatv.
Maendeleo hayana vyama!
Kuna mwalimu wangu mmoja wa zamani leo kaniambia anakisubiri kwa hamu hicho kitabu.Tangu tusikie juu ya kitabu hiki ni miaka kadhaa imepita. Bado tu hakitoki? Uandishi ni uwezo na karama. Kama huna ni busara kukaa kimya. Kikitoka tutakiona.
Tunaposema Bavicha ni vichwa maji ndio kama hivyo sasaKwani mazungumzo yalikua yamhusu Rais Magufuli au
Hata sitamani afanye hvyo mzee wetu maana imeonesha mtu akitoa tu kitbu kinacho husu maisha ya basi anatangulia, mfano Mkapa na MengiRais mstaafu wa awamu ya 4 mh Mrisho Jakaya Kikwete amesema kwa sasa anaandika kitabu cha historia ya maisha yake ambacho kitaelezea mambo aliyoshiriki, aliyoyashuhudia na aliyoyaona katika maisha yake binafsi na yale ya siasa...