Dkt. Kimei: Serikali ikakope kwenye soko la nje ili ikamilishe miradi ya kimkakati SGR na Bwawa la umeme

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mbunge wa Vunjo mh Kimei ameitaka Serikali kukopa fedha nje ili iweze kukamilishz miradi ya kimkakati ya SGR na Bwawa la umeme.

Kimei amesema ni lazima miradi mikubwa ikamilike kwa wakati hivyo Serikali ikakope kwenye soko la nje ambako riba ni nafuu kati ya 5% hadi 6%

Chanzo: Star tv

Ukinizingua Nitakuzingua!
 

Zile alizokopa MEKO trilioni 14 kazipeleka wapi?
 
Ok kumbe ndo CRDB huwa inakopa ili kukuza mtaji halafu wanakuja kutukopesha watumishi kwa riba ya juu sana. ok nimeelewa sasa
 
Hawa wezi wafilisiwe wote kuanzia Magufuli,hizo pesa ni nyingi sana,tumalizie miradi ya Magufuli iliyobaki koma.
Magufuli alikua ni mwizi,tunakopaje wakati bado Magufuli anadai pesa nyingi sana,!
Hizo pesa atalipa nani?
 
SGR fedha za ujenzi jpm slizitoa wapi? Baada ya yeye kufariki mnaanza kuibuka na kwenda kukopa nje?
 
Hawa wanataka kutuiba.
Walisema tunajenga kwa fedha zetu wenyewe. Sa mbona mnataka kukopa? Au wale walikuwa chadema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…