BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Mkuu Mkapa 2005 aliacha deni la Taifa likiwa Trillion 10 baada ya Mashirika ya Kimataifa na Nchi za wafadhili kutupunguzia deni. Kikwete ndani ya miaka 10 akaliongeza kwa 33 trillions na kufikia 43 trillions na jiwe ndani ya miaka mitatu aliliongeza kwa 16 trillions na 2018 likafikia 59 trillions.
Zile alizokopa MEKO trilioni 14 kazipeleka wapi?