Dkt. Kimei: Serikali ikakope kwenye soko la nje ili ikamilishe miradi ya kimkakati SGR na Bwawa la umeme

Dkt. Kimei: Serikali ikakope kwenye soko la nje ili ikamilishe miradi ya kimkakati SGR na Bwawa la umeme

Kama hao waliofilisi nchi Mali zao zipo hapa nchini, Basi serikali ikamate Mali zao na kuzipiga mnada kisha pesa itakayopatikana ipelekwe kumalizia miradi
 
Mbunge wa Vunjo mh Kimei ameitaka serikali kukopa fedha nje ili iweze kukamilishz miradi ya kimkakati ya SGR na Bwawa la umeme.

Kimei amesema ni lazima miradi mikubwa ikamilike kwa wakati hivyo serikali ikakope kwenye soko la nje ambako riba ni nafuu kati ya 5% hadi 6%

Source Star tv

Ukinizingua Nitakuzingua!
SGR fedha za ujenzi jpm alizitoa wapi? Baada ya yeye kufariki mnaanza kuibuka na kwenda kukopa nje?
 
MMH! ANGALAU HUYO NAZUNGUMZA LUGHA YA UWEZEKANO BADALA YA WALE WANAOANZA KUONESHA KUPUUZA MIRADI HIYO NA KUIBUKIA BANDARI YA BAGAMOYO.
Ikiwa masharti ndio yale Bandari hiyo isijengwe au wapewe wengine na sio wachina
 
Mimi naangalia deni alilolikuta kwa kikwete na yeye aliloliacha...Kutokujua kwangu wapi kakopa haina maana kwamba hatukukopa.
Deni la JK limeongezeka riba.

Ndomana Kimei atatuonyesha Chimbo lake huko US riba ni 5%
 
Mbunge wa Vunjo mh Kimei ameitaka serikali kukopa fedha nje ili iweze kukamilishz miradi ya kimkakati ya SGR na Bwawa la umeme.

Kimei amesema ni lazima miradi mikubwa ikamilike kwa wakati hivyo serikali ikakope kwenye soko la nje ambako riba ni nafuu kati ya 5% hadi 6%

Source Star tv

Ukinizingua Nitakuzingua!
This is the kind of thinking and brain storming that we want as a country.
Coming up with suggestions that if they provides a positive alternative should then be considered for implementation.
 
Back
Top Bottom