Dkt. Kimei: Serikali ikakope kwenye soko la nje ili ikamilishe miradi ya kimkakati SGR na Bwawa la umeme

Kama hao waliofilisi nchi Mali zao zipo hapa nchini, Basi serikali ikamate Mali zao na kuzipiga mnada kisha pesa itakayopatikana ipelekwe kumalizia miradi
 
SGR fedha za ujenzi jpm alizitoa wapi? Baada ya yeye kufariki mnaanza kuibuka na kwenda kukopa nje?
 
MMH! ANGALAU HUYO NAZUNGUMZA LUGHA YA UWEZEKANO BADALA YA WALE WANAOANZA KUONESHA KUPUUZA MIRADI HIYO NA KUIBUKIA BANDARI YA BAGAMOYO.
Ikiwa masharti ndio yale Bandari hiyo isijengwe au wapewe wengine na sio wachina
 
Mimi naangalia deni alilolikuta kwa kikwete na yeye aliloliacha...Kutokujua kwangu wapi kakopa haina maana kwamba hatukukopa.
Deni la JK limeongezeka riba.

Ndomana Kimei atatuonyesha Chimbo lake huko US riba ni 5%
 
This is the kind of thinking and brain storming that we want as a country.
Coming up with suggestions that if they provides a positive alternative should then be considered for implementation.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…