Dkt. Kimei: Serikali ikakope kwenye soko la nje ili ikamilishe miradi ya kimkakati SGR na Bwawa la umeme

Mkuu Mkapa 2005 aliacha deni la Taifa likiwa Trillion 10 baada ya Mashirika ya Kimataifa na Nchi za wafadhili kutupunguzia deni. Kikwete ndani ya miaka 10 akaliongeza kwa 33 trillions na kufikia 43 trillions na jiwe ndani ya miaka mitatu aliliongeza kwa 16 trillions na 2018 likafikia 59 trillions.
Zile alizokopa MEKO trilioni 14 kazipeleka wapi?
 
Si walisema soon tutakuwa Donor County! Wapinzani hawapo nani mwingine sasa anatuchelewesha?
 
"Hatutaki mikopo ya Mabeberu. Tutajenga kwa pesa zetu za ndani" au nasema uongo jamani?
 

Hatari Mkuu ,sijui kazipeleka wapi hizo 16 T maana miradi mingi tuliifanya kwa fedha zetu wenyewe.
 
Reactions: BAK
Nakumbuka SGR tulikopa Standard Chartered Bank kama miaka miwili iliyopita
 
Kukopa tena, si tulikubaliana sisi ni dona kantree
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…