zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Kwamba una justify bajeti za maendeleo za wizara ya viwanda na Kilimo kubaki 6% per utekelezaji?Kwani serikali ndio mwenye viwanda na mashamba ya kilimo, kazi ya Serikali ni kuweka sera na mifumo wezeshi
Mkuu kwa kias fulani nakubaliana na wewe, but issue hapa ni moja tu, kwahiyo mfanyabiashara asipo comply ndio apewe kesi ya uhujum uchumi na mapato yake yote yachukuliwe? kwanini kusiwe na friendly way ya ku deal na hivi vitu? reasonable fines and charges? too much polising haimsaidii yeyote mzee wa kaz, iwe ni TRA, Serikali au Mfanyabiashara... lazima wakae waangalie na kwanini mtu anakwepa hizo kodi? pengine sio realistic?We kule kwenye ile thread nyingine ya ‘task force’ nimesoma mchango wako unalalamika ukisahau kutoa risiti adhabu kubwa na ukikutwa na hela bank ambazo unaccounted for jamaa wanazitaka ata kama umezitoa sehemu nyingine nje ya biashara.
Sasa imagine mlipa kodi kama wewe unaeweka hela zako binafsi kwenye bank business account; wakati ukija kukaguliwa unaweza fanyiwa bank reconciliation mambo yasipo match ni tatizo; wakati kosa lenyewe umeweka hela zako na ulishafanya makosa ya kutotoa risiti hata kama ni bahati mbaya.
Hilo ni tatizo la TRA wakikuanzishia madai mengine au uelewa wako wa biashara kwamba utakiwi kuweka hela zisizotokana na biashara kwenye account ya biashara? Lakini bado umeilaumu TRA.
Ndio aina ya walipa kodi TRA inayo deal nao kila siku, bado wanakazi kubwa ya kutoa elimu ya biashara kwa walipa kodi wao na namna wanavyokaguliwa.
Dr Kimei yeye anataka kasi kukusanya iongozeke walipa kodi wenyewe ndio nyinyi ata makosa yenu mntaka laumu TRA (sisemi hiyo taasisi ni perfect ila kuna lawama za pande mbili).
Sheria inasema threshold ya kujisajili kwa VAT ni kuanzia 14 million or low on annual sales za bidhaa au huduma (I think that is the voluntary threshold ila wanalazimisha but that is the case).
Sasa jiulize madalali wangapi wa viwanja, nyumba na magari wana TIN tayari? na wengi wanauza bidhaa moja tu inayopita hiyo thamani je wanalipa VAT? au wamejisajili kulipa income tax?
Kesho hao watu wakiambiwa ni walipa kodi si ugomvi huo tayari.
Serikali inaelewa ina vyanzo vingi bado aijavikamata ila kwa mazingira yetu unahitaji kuuma huku unapuliza watanzania elimu ya kodi bado ni shida ukikurupuka ndio hizi lawana za uonevu.
Ndio maana nikasema Dr Kimei might be a highly qualified economist and very experienced financier but politics is not his thing; mambo yanafanyika tofauti huko na private sector halipopaz
We kule kwenye ile thread nyingine ya ‘task force’ nimesoma mchango wako unalalamika ukisahau kutoa risiti adhabu kubwa na ukikutwa na hela bank ambazo unaccounted for jamaa wanazitaka ata kama umezitoa sehemu nyingine nje ya biashara.

Ndio maana nikasema Dr Kimei might be a highly qualified economist and very experienced financier but politics is not his thing; mambo yanafanyika tofauti huko na private sector halipopazoea.

Fine ya 4.5 million kwa kosa la kutotoa risiti ni kubwa sana that I can agree, isitoshe sina uhakika namna wanavyofanya auditing depending na records mfanyabiashara anazotakiwa kuwa nazo kwa Tanzania.Mkuu kwa kias fulani nakubaliana na wewe, but issue hapa ni moja tu, kwahiyo mfanyabiashara asipo comply ndio apewe kesi ya uhujum uchumi na mapato yake yote yachukuliwe? kwanini kusiwe na friendly way ya ku deal na hivi vitu? reasonable fines and charges? too much polising haimsaidii yeyote mzee wa kaz, iwe ni TRA, Serikali au Mfanyabiashara... lazima wakae waangalie na kwanini mtu anakwepa hizo kodi? pengine sio realistic?
Sasa ukikimbilia kumfundisha mfanyabiashara how to take his money bila incentive yeyote ya maana, its just another waste of time, narudia tena, Kimei has just said the obvious!
Get the gist of the point, for the past 3 years uzalishaji wa Mahindi ni mkubwa , ingawa bado kuna nafasi , na vitu vilivyoleteleza uwezekano huo ni hizi infrastructure, ambazo wengine mlikuwa mnazibeza mkitaka hela ya kilimo iongezwe, sasa hizo bidhaa zingefikaje sokoni, hilo moja na jingine lingekuja suala la bei na mazao mengine, kuharibikia shambani au njiani.Kwamba una justify bajeti za maendeleo za wizara ya viwanda na Kilimo kubaki 6% per utekelezaji?
Hvi unajua yale maahadi ya Kupanua kilimo cha kisasa kwa kuongeza necessary amenities na vifaa-kilimo kwa wakulima wadogo ndio inaingia kwa bajeti kma hiyo?
As long as bajeti yake ilikua approved huwezi justify utekelezaji kuwa below par eti kisa serikali haina viwanda!! Tuwe serious kidogo.
Umekurupuka hujaelewa kimei alikuwa anamaanisha niniMlikuwa mnalialia kwamba kodi ipunguzwe, vyuma vimekaza, JPM amebana pesa etc., sasa Kimei anasema kodi iongezwe hadi kufikia 23% kutoka 13% (to be at par with other countries). Je, unakubaliana na mawazo yake au ndio upofu wenyewe huo?
.aliyoyasema Dr.Kimei yana UKWELI, serikali iyafanyie kazi.
Yaan hapa mtu wa serikalini akisema ukweli tu wale wapiga zumari wanampinga.... Akisema yale wanayopenda kusikia......wanamsifu mtukufu na kutaka atawale milele.Sikilizeni mchango wa Dr.Kimei bungeni.
Kuna mambo hayako sawa ktk mikakati yetu ya uchumi.
View attachment 1698556
Bado mapema sana maana watawala wako kwenye vikao kujadili athari za hiyo wakiona wanaumizwa watamtulizaAnayo 'stamina' ya kutosha?
Vinginevyo atachoka sana na kukata tamaa muda sio mrefu.
Lakini kama anayonguvu ya kutosha, na anayo 'commitment' juu ya anayoyaamini; msimamo huo unaweza kumjenga na kumpa heshima kwa wananchi.
Anaweza kutumia nafasi hiyo kujitambulisha na kujipambanua kuwa ni kiongozi wa kutegemewa.
Hivi kwanini mtu akiongea uhalisia anawaziwa uwaziriIla Kimei anatumia vyema experience yake kwenye sector ya benki kushauri bungeni! Tatizo hata akipewa yeye uwaziri atakutana na mifumo itamvuruga tu
Sisi hata hatujui tunataka michango gani, Babu Tale kachemka tumemsema ka trend wabunge gani hawa, Huyu mzee anaongelea area ambayo ni mtaalamu amekuwa mkuu wa CRDB miaka. anachoongea ni kweli 100% revenue ni overstated ndio maana hatujawahi kupeleka hata 60% unasikia budget tu lakini utekelezaji unasuasua tu. Sawa na wewe unasema mwaka huu nitapata million 10 kwa mwaka unapanga matumizi ukifika mwisho wa mwaka una Mil 4 tu mwaka unaofuata hivyohivyo.Kimei anautafuta uwaziri kwa nguvu ila hata upata maana na ukaskazi wake
Ndio maana katumia neno labda tuna overstate GDP yetu sio kipato halisi. Kama hakuna biashara basi lazima tu deal na issue kiuhalisia kuwa tunapunguza budget sababu uchumi wetu hau support sasa biashara mbaya uchumi mbaya bado unaongeza budget pesa itoke wapi?? badala ya kuwezesha watu kuwapa unafuu biashara ziinuke tena watu watalipa kodi ila biashara ngumu sababu ya siasa zetu tunakimbilia kukusanya tu bila kujali walipaji, unamkamua n'gombe maziwa bila kumlisha majani. Mzee hakutaka kutumia neno kuwa tuna fake ila kasema kitaalamu au tuna overstate mapato.Kwa ukusanyaji huu wa kodi ambao haujari hali halisi za biashara zilivyo, ipo siku wakusanya kodi wanaweza kutafuta kazi nyingine.
Biashara zimeelemewa sana. Kodi hazilingani na biashara zilivyo.
Najiuliza tunaoanishaje Ajira million nane za Ilani ya CCM na ukusanyaji huu wa kodi unaozifumbaza biashara zisikue?
Mara nyingine inafikirisha sana. Nakumbuka hadithi ya Stalin na kifo cha Comrade Kirov!!!!
Mimi ndio nimeelewa hivyo neno kubwa hapa alilotumia je tuna overstate? mimi naamini tuna overstate na mzee hawezi kupenda hilo ila ndio ukweli.Mkuu, kimei kasema makusanyo ya mapato.... Kodi ni sehemu mojawapo tu ya mapato ya serikali.
Ndio maana kasema either tuna overstate GDP au Revenues..... Maana anashangaa Bajeti zinapitishwa nene alafu mwisho wa cku zinaambulia 6%!!
Kashauri wawaze nje ya box kuongeza mapato ila haja suggest waongeze makodi tu kwa watu!!
We ndo umeongea ukweli. Kwa sasa ukiwa Waziri huwezi kuimplement mawazo yako maana Jiwe anapanga na kuamua kila kitu yeye mwenyewe. Ukifanya jambo lolote kinyume na yeye wafwaaaa!Ila Kimei anatumia vyema experience yake kwenye sector ya benki kushauri bungeni! Tatizo hata akipewa yeye uwaziri atakutana na mifumo itamvuruga tu
Hujaelewa boss fingua clip tena usikilize vemaMlikuwa mnalialia kwamba kodi ipunguzwe, vyuma vimekaza, JPM amebana pesa etc., sasa Kimei anasema kodi iongezwe hadi kufikia 23% kutoka 13% (to be at par with other countries). Je, unakubaliana na mawazo yake au ndio upofu wenyewe huo?
HAJAELEWA KABISAHujaelewa boss fingua clip tena usikilize vema