Dkt. Kimei: Wizara za Kilimo na Viwanda kupewa 6% ya bajeti will never work. Ukusanyaji mapato ni mdogo, au huenda GDP ya Tanzania iko overstated

Kwani serikali ndio mwenye viwanda na mashamba ya kilimo, kazi ya Serikali ni kuweka sera na mifumo wezeshi
Kwamba una justify bajeti za maendeleo za wizara ya viwanda na Kilimo kubaki 6% per utekelezaji?

Hvi unajua yale maahadi ya Kupanua kilimo cha kisasa kwa kuongeza necessary amenities na vifaa-kilimo kwa wakulima wadogo ndio inaingia kwa bajeti kma hiyo?

As long as bajeti yake ilikua approved huwezi justify utekelezaji kuwa below par eti kisa serikali haina viwanda!! Tuwe serious kidogo.
 
We kule kwenye ile thread nyingine ya ‘task force’ nimesoma mchango wako unalalamika ukisahau kutoa risiti adhabu kubwa na ukikutwa na hela bank ambazo unaccounted for jamaa wanazitaka ata kama umezitoa sehemu nyingine nje ya biashara.

Sasa imagine mlipa kodi kama wewe unaeweka hela zako binafsi kwenye bank business account; wakati ukija kukaguliwa unaweza fanyiwa bank reconciliation mambo yasipo match ni tatizo; wakati kosa lenyewe umeweka hela zako na ulishafanya makosa ya kutotoa risiti hata kama ni bahati mbaya.

Hilo ni tatizo la TRA wakikuanzishia madai mengine au uelewa wako wa biashara kwamba utakiwi kuweka hela zisizotokana na biashara kwenye account ya biashara? Lakini bado umeilaumu TRA.

Ndio aina ya walipa kodi TRA inayo deal nao kila siku, bado wanakazi kubwa ya kutoa elimu ya biashara kwa walipa kodi wao na namna wanavyokaguliwa.

Dr Kimei yeye anataka kasi kukusanya iongozeke walipa kodi wenyewe ndio nyinyi ata makosa yenu mntaka laumu TRA (sisemi hiyo taasisi ni perfect ila kuna lawama za pande mbili).

Sheria inasema threshold ya kujisajili kwa VAT ni kuanzia 14 million or low on annual sales za bidhaa au huduma (I think that is the voluntary threshold ila wanalazimisha but that is the case).

Sasa jiulize madalali wangapi wa viwanja, nyumba na magari wana TIN tayari? na wengi wanauza bidhaa moja tu inayopita hiyo thamani je wanalipa VAT? au wamejisajili kulipa income tax?

Kesho hao watu wakiambiwa ni walipa kodi si ugomvi huo tayari.

Serikali inaelewa ina vyanzo vingi bado aijavikamata ila kwa mazingira yetu unahitaji kuuma huku unapuliza watanzania elimu ya kodi bado ni shida ukikurupuka ndio hizi lawana za uonevu.

Ndio maana nikasema Dr Kimei might be a highly qualified economist and very experienced financier but politics is not his thing; mambo yanafanyika tofauti huko na private sector halipopaz

Ndio maana nikasema Dr Kimei might be a highly qualified economist and very experienced financier but politics is not his thing; mambo yanafanyika tofauti huko na private sector halipopazoea.

Mkuu kwa kias fulani nakubaliana na wewe, but issue hapa ni moja tu, kwahiyo mfanyabiashara asipo comply ndio apewe kesi ya uhujum uchumi na mapato yake yote yachukuliwe? kwanini kusiwe na friendly way ya ku deal na hivi vitu? reasonable fines and charges? too much polising haimsaidii yeyote mzee wa kaz, iwe ni TRA, Serikali au Mfanyabiashara... lazima wakae waangalie na kwanini mtu anakwepa hizo kodi? pengine sio realistic?
Sasa ukikimbilia kumfundisha mfanyabiashara how to take his money bila incentive yeyote ya maana, its just another waste of time, narudia tena, Kimei has just said the obvious!
 
Fine ya 4.5 million kwa kosa la kutotoa risiti ni kubwa sana that I can agree, isitoshe sina uhakika namna wanavyofanya auditing depending na records mfanyabiashara anazotakiwa kuwa nazo kwa Tanzania.

Nachoelewa mimi kwa nchi za wenzetu iwapo mfanyabiashara anatumia electronic devices as in edf machine halafu anauzia walaji wa mwisho hawana ulazima wa kutoa receipt; but then they have other means of auditing ( but only retailers ndio hawana ulazima wa kutoa receipt; and not B2B transactions).

Na makosa ya kodi yanatofautiana mengine ni ya uhujumu uchumi na mengine adhabu zake ni ‘surcharges, interest or penalties’

Sasa inategemea na kosa lenyewe kama wewe mfano unamauzo yanayofikia kulipa VAT na auja jisajiki ukikamatwa huo ni uhujumu uchumi na ni kesi ya kwenda jela nchi nyingi duniani in addition to heavy fines; kama wewe umesajiliwa umechelewa ku file for taxes au ume file wrong returns au hukutoa risiti (na makosa mengine ya regulations) unaangukia kwenye hizo adhabu za kawaida.

Kwa ivyo sio makosa yote yanafanana, muhimu ni wewe kusoma sheria ya kodi ili usionewe wala usiipunje serikali.

Kuhusu swala la kodi lipo wazi ni jukumu lako kujua bidhaa zipi ni standard rate, reduced rate zero or exempted; na tozo zake za VAT. Kodi kwa upande wangu from central government point of view zipo fair sasa sijui halmashauri huko chini nao wana tozo gani pengine huko ndio mzigo wa mfanyabiashara unapoongezeka zaidi.
 
Kwamba una justify bajeti za maendeleo za wizara ya viwanda na Kilimo kubaki 6% per utekelezaji?

Hvi unajua yale maahadi ya Kupanua kilimo cha kisasa kwa kuongeza necessary amenities na vifaa-kilimo kwa wakulima wadogo ndio inaingia kwa bajeti kma hiyo?

As long as bajeti yake ilikua approved huwezi justify utekelezaji kuwa below par eti kisa serikali haina viwanda!! Tuwe serious kidogo.
Get the gist of the point, for the past 3 years uzalishaji wa Mahindi ni mkubwa , ingawa bado kuna nafasi , na vitu vilivyoleteleza uwezekano huo ni hizi infrastructure, ambazo wengine mlikuwa mnazibeza mkitaka hela ya kilimo iongezwe, sasa hizo bidhaa zingefikaje sokoni, hilo moja na jingine lingekuja suala la bei na mazao mengine, kuharibikia shambani au njiani.
Ukija upande wa pili wa ni mazao hayo kuwa processes na kuhifadhiwa, sasa hapa suala la viwanda na maghala linakuja, lakini kwa namna gani?? No serikali kuwa na hayo maghala au individuals . No wazi ili kuwepo na ufanisi vitu hivyo ni vizuri vikawa vya watu binafsi . Sasa serikali itampaje A badala ya B au wote wawili .
Na hapo hapo tunasema serikali haifanyi biashara
 
Nimemsikia mbunge Msukuma akilalamika kuwa biashara nyingi zinazidi kufungwa.Ni wazi mapato ya serikali yatokanayo na kodi za wafanyabiashara yanapungua.
Lakini hata hali ya uchumi duniani sio nzuri tokana na janga la Corona. Hivyo bajeti nazo ziwe more realistic kwa hali ya sasa zisiwe za kuwabebesha wananchi mzigo mzito.
Miradi mikubwa mipya nayo ingemulikwa.Tuachie wataalamu wa uchumi na fedha wafanye kazi yao.
 
Mlikuwa mnalialia kwamba kodi ipunguzwe, vyuma vimekaza, JPM amebana pesa etc., sasa Kimei anasema kodi iongezwe hadi kufikia 23% kutoka 13% (to be at par with other countries). Je, unakubaliana na mawazo yake au ndio upofu wenyewe huo?
Umekurupuka hujaelewa kimei alikuwa anamaanisha nini
 
.aliyoyasema Dr.Kimei yana UKWELI, serikali iyafanyie kazi.

Nilitegemea Kimei angefafanua zaidi sio kusema tu mapato ya serikali kuwa 13% ya GDP ni madogo sana ! Mapato ni madogo kwasababu TAX base inazidi kupungua kutokana na wafanya bishara na wawekezaji kufunga biashara zao kutokana na sera kutokuwa rafiki! Sasa walipa kodi wakipungua Serikali inalazimika kuwakamua hao wachache waliobakia ili kufikia malengo yake ; sasa hawa nao waliobakia kwa vile wanakamuliwa sana uzalendo unawashinda wanatafuta njia za kukwepe kulipa kodi hivyo mapato ya serikali yanazidi kupungua!

Serikali isiangalie jinsi ya kukusanya kodi tu ni lazima iangalie ustawi wa wale wanaoipatia hayo mapato; huwezi kukamua ng'ombe bila kuhakikisha kuwa inapata majani ya kutosha ili itoe maziwa mengi!

Kimei lazima ajitofautishe na hao wabunge wa darasa la pili wakina DEO SANGA kwa kutokukosoa tu bali kushauri jinsi ya kutatua matatizo yanayoikabili nchi!!! Kama mapato ya serikali yakiwa 13% ya GDP serikali ifanye mbinu gani tofauti na inavyofanya sasa kuongeza mapato yake yafike anagalau 25% ya GDP?
 
Sikilizeni mchango wa Dr.Kimei bungeni.

Kuna mambo hayako sawa ktk mikakati yetu ya uchumi.

View attachment 1698556
Yaan hapa mtu wa serikalini akisema ukweli tu wale wapiga zumari wanampinga.... Akisema yale wanayopenda kusikia......wanamsifu mtukufu na kutaka atawale milele.
Nchi imebadilika sana.
Leo mkuu akisema kuna korona tujikinge.....utaona kila m-kijani ataandika
 
Anayo 'stamina' ya kutosha?

Vinginevyo atachoka sana na kukata tamaa muda sio mrefu.

Lakini kama anayonguvu ya kutosha, na anayo 'commitment' juu ya anayoyaamini; msimamo huo unaweza kumjenga na kumpa heshima kwa wananchi.

Anaweza kutumia nafasi hiyo kujitambulisha na kujipambanua kuwa ni kiongozi wa kutegemewa.
Bado mapema sana maana watawala wako kwenye vikao kujadili athari za hiyo wakiona wanaumizwa watamtuliza
 
Ila Kimei anatumia vyema experience yake kwenye sector ya benki kushauri bungeni! Tatizo hata akipewa yeye uwaziri atakutana na mifumo itamvuruga tu
Hivi kwanini mtu akiongea uhalisia anawaziwa uwaziri
 
Kimei anautafuta uwaziri kwa nguvu ila hata upata maana na ukaskazi wake
Sisi hata hatujui tunataka michango gani, Babu Tale kachemka tumemsema ka trend wabunge gani hawa, Huyu mzee anaongelea area ambayo ni mtaalamu amekuwa mkuu wa CRDB miaka. anachoongea ni kweli 100% revenue ni overstated ndio maana hatujawahi kupeleka hata 60% unasikia budget tu lakini utekelezaji unasuasua tu. Sawa na wewe unasema mwaka huu nitapata million 10 kwa mwaka unapanga matumizi ukifika mwisho wa mwaka una Mil 4 tu mwaka unaofuata hivyohivyo.
 
Kwa ukusanyaji huu wa kodi ambao haujari hali halisi za biashara zilivyo, ipo siku wakusanya kodi wanaweza kutafuta kazi nyingine.
Biashara zimeelemewa sana. Kodi hazilingani na biashara zilivyo.
Najiuliza tunaoanishaje Ajira million nane za Ilani ya CCM na ukusanyaji huu wa kodi unaozifumbaza biashara zisikue?

Mara nyingine inafikirisha sana. Nakumbuka hadithi ya Stalin na kifo cha Comrade Kirov!!!!
Ndio maana katumia neno labda tuna overstate GDP yetu sio kipato halisi. Kama hakuna biashara basi lazima tu deal na issue kiuhalisia kuwa tunapunguza budget sababu uchumi wetu hau support sasa biashara mbaya uchumi mbaya bado unaongeza budget pesa itoke wapi?? badala ya kuwezesha watu kuwapa unafuu biashara ziinuke tena watu watalipa kodi ila biashara ngumu sababu ya siasa zetu tunakimbilia kukusanya tu bila kujali walipaji, unamkamua n'gombe maziwa bila kumlisha majani. Mzee hakutaka kutumia neno kuwa tuna fake ila kasema kitaalamu au tuna overstate mapato.
 
Mkuu, kimei kasema makusanyo ya mapato.... Kodi ni sehemu mojawapo tu ya mapato ya serikali.

Ndio maana kasema either tuna overstate GDP au Revenues..... Maana anashangaa Bajeti zinapitishwa nene alafu mwisho wa cku zinaambulia 6%!!

Kashauri wawaze nje ya box kuongeza mapato ila haja suggest waongeze makodi tu kwa watu!!
Mimi ndio nimeelewa hivyo neno kubwa hapa alilotumia je tuna overstate? mimi naamini tuna overstate na mzee hawezi kupenda hilo ila ndio ukweli.
 
Ila Kimei anatumia vyema experience yake kwenye sector ya benki kushauri bungeni! Tatizo hata akipewa yeye uwaziri atakutana na mifumo itamvuruga tu
We ndo umeongea ukweli. Kwa sasa ukiwa Waziri huwezi kuimplement mawazo yako maana Jiwe anapanga na kuamua kila kitu yeye mwenyewe. Ukifanya jambo lolote kinyume na yeye wafwaaaa!
 
ni kweli tuna over state buana mimi nimemuelewa kabisa 6%
kama vile watoto wanacheza mchezo wa kujipikilisha ila
kusema viwanda visijengwe na serikali amekosea kabisa

hata maendeleo tunayojivunia hayalingani na mali tulizo nazo madini,gesi,

13% of GDP is NOTHING NOTHING
🤣 🤣 🤣
 
Jiwe ameteuwa mawaziri mbumbu ili awapeleke anavyotaka yeye.

Hawezi mteuwa Dr. Kimei anajua hatakubali yes mzee.

Kweli kimei anatutendea haki jimbo letu la vunjo
 
Mlikuwa mnalialia kwamba kodi ipunguzwe, vyuma vimekaza, JPM amebana pesa etc., sasa Kimei anasema kodi iongezwe hadi kufikia 23% kutoka 13% (to be at par with other countries). Je, unakubaliana na mawazo yake au ndio upofu wenyewe huo?
Hujaelewa boss fingua clip tena usikilize vema
 
Kuna kipindi kinakuja serikali itashindwa kukusanya hata nusu ya fedha zinazokusanywa Leo....... Time is the best teacher
 
Back
Top Bottom