We kule kwenye ile thread nyingine ya ‘task force’ nimesoma mchango wako unalalamika ukisahau kutoa risiti adhabu kubwa na ukikutwa na hela bank ambazo unaccounted for jamaa wanazitaka ata kama umezitoa sehemu nyingine nje ya biashara.
Sasa imagine mlipa kodi kama wewe unaeweka hela zako binafsi kwenye bank business account; wakati ukija kukaguliwa unaweza fanyiwa bank reconciliation mambo yasipo match ni tatizo; wakati kosa lenyewe umeweka hela zako na ulishafanya makosa ya kutotoa risiti hata kama ni bahati mbaya.
Hilo ni tatizo la TRA wakikuanzishia madai mengine au uelewa wako wa biashara kwamba utakiwi kuweka hela zisizotokana na biashara kwenye account ya biashara? Lakini bado umeilaumu TRA.
Ndio aina ya walipa kodi TRA inayo deal nao kila siku, bado wanakazi kubwa ya kutoa elimu ya biashara kwa walipa kodi wao na namna wanavyokaguliwa.
Dr Kimei yeye anataka kasi kukusanya iongozeke walipa kodi wenyewe ndio nyinyi ata makosa yenu mntaka laumu TRA (sisemi hiyo taasisi ni perfect ila kuna lawama za pande mbili).
Sheria inasema threshold ya kujisajili kwa VAT ni kuanzia 14 million or low on annual sales za bidhaa au huduma (I think that is the voluntary threshold ila wanalazimisha but that is the case).
Sasa jiulize madalali wangapi wa viwanja, nyumba na magari wana TIN tayari? na wengi wanauza bidhaa moja tu inayopita hiyo thamani je wanalipa VAT? au wamejisajili kulipa income tax?

Kesho hao watu wakiambiwa ni walipa kodi si ugomvi huo tayari.
Serikali inaelewa ina vyanzo vingi bado aijavikamata ila kwa mazingira yetu unahitaji kuuma huku unapuliza watanzania elimu ya kodi bado ni shida ukikurupuka ndio hizi lawana za uonevu.
Ndio maana nikasema Dr Kimei might be a highly qualified economist and very experienced financier but politics is not his thing; mambo yanafanyika tofauti huko na private sector halipopazoea.