Dkt. Kimei: Wizara za Kilimo na Viwanda kupewa 6% ya bajeti will never work. Ukusanyaji mapato ni mdogo, au huenda GDP ya Tanzania iko overstated

Kimei ni technocrat sio mwanasiasa, serikali ilitakiwa kumtafutia nafasi kwenye board za finance huko TRA au BoT baada ya kustaafu.

Anachozungumza ndio wenzake wanachojaribu kufanya, walipa kodi wenyewe ndio hao wakienda kudaiwa wanakwambia wanaonewa, sasa labda aje na mbinu ya kudai ili kuongeza makusanyo ndio atakuwa na point; vinginevyo hakuna wenzake wasichokijua kwenye hoja zake.

Siasa inataka kubembelezana sio kama banking mtu kashindwa kulipa mkopo unachukua tu nyumba mke na watoto watalala wapi sio tatizo la lender bali la baba mwenye nyumba.

Serikali ina different approaches za kukuza tax base ndio hizo seminar za kulipa kodi, kuombana jamani tumieni edf machines, wapokee matusi sijui wanatumia tasks force, waporaji etc mpaka safari ifike unaongeza nguvu taratibu that’s the political approach kwenye kudai chao and it’s not as easy as in banking unakomba asset mtu akishindwa kulipa deni.
 
Pesa Mkuu inaenda kitovuni mwa Tanzania AKA kijijini chato.
Ila Kimei anatumia vyema experience yake kwenye sector ya benki kushauri bungeni! Tatizo hata akipewa yeye uwaziri atakutana na mifumo itamvuruga tu
 
Hakuna mfumo wowote ni bora liende tu. Huyo anayejiita mwendawazimu anajua kila kitu. Wizara unaipa 15 to 20% ya expected budget na 80% anaipeleka ujenzi kwenye miradi uchwara ya kule chato hakuna maendeleo hapo hapo maana kila kitu ni kitovuni tu.
Ila Kimei anatumia vyema experience yake kwenye sector ya benki kushauri bungeni! Tatizo hata akipewa yeye uwaziri atakutana na mifumo itamvuruga tu
 
1612898018973.jpeg

Bunge la Manyani hakuna upinzani ambao walikuwa wanatuchelewesha,kwani wamekwama wapi?
 
wizara ya kilimo na biashara hebu anayejua bajeti yao upande wa miradi ya maendeleo huwa wanaweka nini hasa? sababu sioni cha maana kwenye bajeti zilizopita cha miradi ya maendeleo au wanatakiwa kuweka nini?
 
Hoja nzito kweli kweli
Bora amebaki kwenye ubunge walau asaidie kuiamsha serikali
 
wizara ya kilimo na biashara hebu anayejua bajeti yao upande wa miradi ya maendeleo huwa wanaweka nini hasa? sababu sioni cha maana kwenye bajeti zilizopita cha miradi ya maendeleo au wanatakiwa kuweka nini?
Ningeshangaa sana kama ungekuwa unaelewa

Endelea kupiga makofi hata ukielewa utaendelea kuabudu huna la maana, haufikiri kazi yako ni kusifu na kumwimbia jiwe mapambio.
 
Kwa ukusanyaji huu wa kodi ambao haujari hali halisi za biashara zilivyo, ipo siku wakusanya kodi wanaweza kutafuta kazi nyingine.
Biashara zimeelemewa sana. Kodi hazilingani na biashara zilivyo.
Najiuliza tunaoanishaje Ajira million nane za Ilani ya CCM na ukusanyaji huu wa kodi unaozifumbaza biashara zisikue?

Mara nyingine inafikirisha sana. Nakumbuka hadithi ya Stalin na kifo cha Comrade Kirov!!!!
 
Kimei ni technocrat sio mwanasiasa, serikali ilitakiwa kumtafutia nafasi kwenye board za finance huko TRA au BoT baada ya kustaafu.

Anachozungumza ndio wenzake wanachojaribu kufanya, walipa kodi wenyewe ndio hao wakienda kudaiwa wanakwambia wanaonewa, sasa labda aje na mbinu ya kudai ili kuongeza makusanyo ndio atakuwa na point; vinginevyo hakuna wenzake wasichokijua kwenye hoja zake.

Siasa inataka kubembelezana sio kama banking mtu kashindwa kulipa mkopo unachukua tu nyumba mke na watoto watalala wapi sio tatizo la lender bali la baba mwenye nyumba.

Serikali ina different approaches za kukuza tax base ndio hizo seminar za kulipa kodi, kuombana jamani tumieni edf machines, wapokee matusi sijui wanatumia tasks force, waporaji etc mpaka safari ifike unaongeza nguvu taratibu that’s the political approach kwenye kudai chao and it’s not as easy as in banking unakomba asset mtu akishindwa kulipa deni.
Issue ni kwamba pamoja na bla bla zote bado mapato ni kidogo, manake njia za kukomoana zinazotumika sio sahihi... jaribu kuelewa kuwa hakuna mtanzania asiependa kulipa kodi , hizo efd zimekuja juzi ila kosa kidogo fine mamilioni, approach ya kumsaidia mfanyabiashara aweze kulipa zaid haipo mnakazia serikali ijenge viwanda, wakati kuna entrepreneur wa kutosha kufanya hivo, mind set zimekaa kipolisi kwa maswala ya kutumia brain tu,.. jiulize kwanini wafanyabiashara wengi wanaogopa hata kuweka hela bank kama sio mambo ya ubabe unaoendelea, pamoja na sheria mbovu za kodi, hapo hata sijaona u technocrat wowote wa Kimei, he just said the obvious.
 
We kule kwenye ile thread nyingine ya ‘task force’ nimesoma mchango wako unalalamika ukisahau kutoa risiti adhabu kubwa na ukikutwa na hela bank ambazo unaccounted for jamaa wanazitaka ata kama umezitoa sehemu nyingine nje ya biashara.

Sasa imagine mlipa kodi kama wewe unaeweka hela zako binafsi kwenye bank business account; wakati ukija kukaguliwa unaweza fanyiwa bank reconciliation mambo yasipo match ni tatizo; wakati kosa lenyewe umeweka hela zako na ulishafanya makosa ya kutotoa risiti hata kama ni bahati mbaya.

Hilo ni tatizo la TRA wakikuanzishia madai mengine au uelewa wako wa biashara kwamba utakiwi kuweka hela zisizotokana na biashara kwenye account ya biashara? Lakini bado umeilaumu TRA.

Ndio aina ya walipa kodi TRA inayo deal nao kila siku, bado wanakazi kubwa ya kutoa elimu ya biashara kwa walipa kodi wao na namna wanavyokaguliwa.

Dr Kimei yeye anataka kasi kukusanya iongozeke walipa kodi wenyewe ndio nyinyi ata makosa yenu mntaka laumu TRA (sisemi hiyo taasisi ni perfect ila kuna lawama za pande mbili).

Sheria inasema threshold ya kujisajili kwa VAT ni kuanzia 14 million or low on annual sales za bidhaa au huduma (I think that is the voluntary threshold ila wanalazimisha but that is the case).

Sasa jiulize madalali wangapi wa viwanja, nyumba na magari wana TIN tayari? na wengi wanauza bidhaa moja tu inayopita hiyo thamani je wanalipa VAT? au wamejisajili kulipa income tax?

Kesho hao watu wakiambiwa ni walipa kodi si ugomvi huo tayari.

Serikali inaelewa ina vyanzo vingi bado aijavikamata ila kwa mazingira yetu unahitaji kuuma huku unapuliza watanzania elimu ya kodi bado ni shida ukikurupuka ndio hizi lawana za uonevu.

Ndio maana nikasema Dr Kimei might be a highly qualified economist and very experienced financier but politics is not his thing; mambo yanafanyika tofauti huko na private sector halipopazoea.
 
Sikilizeni mchango wa Dr.Kimei bungeni.

Kuna mambo hayako sawa ktk mikakati yetu ya uchumi.

View attachment 1698556
Mlikuwa mnalialia kwamba kodi ipunguzwe, vyuma vimekaza, JPM amebana pesa etc., sasa Kimei anasema kodi iongezwe hadi kufikia 23% kutoka 13% (to be at par with other countries). Je, unakubaliana na mawazo yake au ndio upofu wenyewe huo?
 
yule mchumi grade A kakimbilia wizara zingine kuficha umbumbumbu wake.
 
Mlikuwa mnalialia kwamba kodi ipunguzwe, vyuma vimekaza, JPM amebana pesa etc., sasa Kimei anasema kodi iongezwe hadi kufikia 23% kutoka 13% (to be at par with other countries). Je, unakubaliana na mawazo yake au ndio upofu wenyewe huo?
Mlikuwa mnalialia kwamba kodi ipunguzwe, vyuma vimekaza, JPM amebana pesa etc., sasa Kimei anasema kodi iongezwe hadi kufikia 23% kutoka 13% (to be at par with other countries). Je, unakubaliana na mawazo yake au ndio upofu wenyewe huo?
Mkuu, kimei kasema makusanyo ya mapato.... Kodi ni sehemu mojawapo tu ya mapato ya serikali.

Ndio maana kasema either tuna overstate GDP au Revenues..... Maana anashangaa Bajeti zinapitishwa nene alafu mwisho wa cku zinaambulia 6%!!

Kashauri wawaze nje ya box kuongeza mapato ila haja suggest waongeze makodi tu kwa watu!!
 
Back
Top Bottom