Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Kimei ni technocrat sio mwanasiasa, serikali ilitakiwa kumtafutia nafasi kwenye board za finance huko TRA au BoT baada ya kustaafu.
Anachozungumza ndio wenzake wanachojaribu kufanya, walipa kodi wenyewe ndio hao wakienda kudaiwa wanakwambia wanaonewa, sasa labda aje na mbinu ya kudai ili kuongeza makusanyo ndio atakuwa na point; vinginevyo hakuna wenzake wasichokijua kwenye hoja zake.
Siasa inataka kubembelezana sio kama banking mtu kashindwa kulipa mkopo unachukua tu nyumba mke na watoto watalala wapi sio tatizo la lender bali la baba mwenye nyumba.
Serikali ina different approaches za kukuza tax base ndio hizo seminar za kulipa kodi, kuombana jamani tumieni edf machines, wapokee matusi sijui wanatumia tasks force, waporaji etc mpaka safari ifike unaongeza nguvu taratibu that’s the political approach kwenye kudai chao and it’s not as easy as in banking unakomba asset mtu akishindwa kulipa deni.