TANZIA Dkt. Kinabo ambaye ni daktari bingwa wa moyo afariki dunia leo Dodoma

Mimi ni mfanyakaz wake mzee ameugua muda mrefu tangu Mwez wa kwanza hajaja kazin alikua nyumban
Mzee alikua na sukar ya juu sanaa
Watu Waache kupotosha jamii

Sent by IPhone
I can agree ni magonjwa ya uzeeni Dr Kinabo umri umeenda sana, asilimia kubwa ya wazee wote mitaa ya Muhimbili Dar alipokuwa anaishi washatangulia.

Mshangao kwangu bado alikuwa ana practice medicine mpaka mwaka huu na aliamia Dodoma sijui lini. Condolences to Simon
 
Mimi ni mfanyakaz wake mzee ameugua muda mrefu tangu Mwez wa kwanza hajaja kazin alikua nyumban
Mzee alikua na sukar ya juu sanaa
Watu Waache kupotosha jamii

Sent by IPhone
Corona inafanya finishing ndugu yangu acha kubisha bisha vitu usivyovijua, pumzika nyumbani au Covid-19 ikakupumzishe kaburini. Period
 

Unataka Serikali Ufanye kipi ambacho haijakifanya. Share Nasi. Au unataka kunambia Hakuna mtz aliyesikia kuhusu corona na namna ya kujikinga. Hicho ndo kipimo kikubwa cha nyie Mnaoita watu madikteta pale inapowafaha. Mazuri yote hamyaoni. Tell us now. I am in Deutschland so I am interested kujua unataka Serikali ilifanyie Nini.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli kaamua kuua wananchi wake huku yeye kajificha Chato. Sasa hata kupima hatupimi tena. Tumesingizia mashine ni mbovu. Bahati mbaya vifo havifichiki.
Kazee kajing sana kale, kamemwachia msala yule PMU naye anaenda kichwa kichwa tu, atatuaga muda si mrefu shauri yake! Kuna picha kama 2 hivi ameonekana na watu ambao tayari wametutoka kutokana na changamoto za kupumua!
 
we unapandwa
 
Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe

AMEN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…