Dkt. Kitima: Baba Mtakatifu ametutaka tufuate ushauri wa Wanasayansi kuhusu ugunduzi wa chanjo

Waziri anasema hakuna wakati raisi anaema walioenda kuchanjwa wamerudi na korona mpya
 
Chanjo ya Moderna haifai kupewa wanawake wajawazito WHO yaonya
Comments: Chanjo zote hajafanyiwa utafiti wakutosha chanjo zime Malibu chants utafiti huchukua miaka zaidi ya tisa hizi zinalenga kutengeneza kipato kwa matajiri wenye kusimamia hiyo mradi. Tusipokuwa makini tutaangamia. ... see more

Download Now
 
Ukifuata wana sayansi kawaida, process ya kuvumbua dawa au chanjo zina chukua muda gani ?
Taratibu zinabadilika kutokana na teknolojia. Usitegemee kuwa kwa sababu iliwachukua watu siku 3 kufika mwezini miaka ya 1970 basi itakuwa siku hizo hizo 3 mwaka 2020
 
Fr. Kitima ni mojawapo ya Mapadre wakweli na watiifu kwa KANISA. Mungu akubariki baba askofu mtarajiwa wa Jimbo la .....
 
Ni ajabu hawa nakiongozi wao wkiongelea habari za utakatifu wala Mungu. Hawa na chanjo za corona ama corona na chupa na mfuniko, kwa asiyejua afahamu
 
Hakuna muda maalum
Ok let me make it a little bit simple , what is the reasonable time to complete hiyo circle, and confirm it to be ready to be used by human beings
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…