Dkt. Kitima: Baba Mtakatifu ametutaka tufuate ushauri wa Wanasayansi kuhusu ugunduzi wa chanjo

Huyo aitwaye Baba mtakatifu ndiyo solution ya matatizo yetu, kwa hiyo sasa tunapokea maagizo kutoka Roma? Huyo aitwaye Baba Mtakatifu ni mtakatifu kwa nani? Na kauli zake ni takatifu kwa nani? Je! Yeye ndiye dira ya watanzania?
Tunawaomba waroma mutuache watanzania tuitafute sura ya Mungu wetu anayepaswa kuabudiwa, maana amelaaniwa mtu yule, amtumainiye mwanadamu na kumfanya kuwa kinga yake na huku amemwacha Bwana. Maana atakuwa kama fukara nyikani.
Huyo ambaye ninyi mnamuona kuwa mtakatifu na kauli zake takatifu, asiwe mtakatifu wa taifa la Tanzania Bali wa huo utakatifu wake na watu wake wenye kuamini katika yeye.
 
magufuli yupo wapi, embu leta kapichaa
 
Inasemekana = Udaku
Pitia na hapa
 
Kuna Sayansi ya dunia ya kwao na ya kwetu,yeye ni kwao na anajua mazingira na uhalisia wa afya zao,angekua ni Baba Mtakatifu kutoka Botswana,Tanzania, Ghana n.k hapa Afrika angesema vingine,na huyo ndo anawatuma hao maajenti wao maana kuitwa mtakatifu si tija.

Waafrika hawa wanao tembea na magonjwa 10 mwilini wanatishwaje na mafua?
 
Korona ni maada. Maada ni kitu chochote chenye uzito na hushika nafasi.
Njia ya kuharibu maada ni kutumia maada nyingine baada kuthibitisha kuwa ina uwezo huo.
Baba mtakatifu amezingatia ukweli huu.
Anajua vitu hongozwa na akili ingawa akili sii maada ni muhimu sana. Hatuwezi kukemea korona kama pepo.
 
mapadri akili kubwa hawawezi fuata muongozo wa kijinga kutoka chatoo
 
Inasemekana = Udaku
Sasa udaku wako ni siku, wiki,miezi,miaka mingapi .


Once clinical trials show that the product is effective, producing a large amount of it in a safe manner can take approximately four years.
That timeline includes designing, building, qualifying and licensing a manufacturing facility, and then producing adequate amounts of the vaccine to get to market
 
Amina sana kiongozi
 
Baba anayejiita Mtakatifu ni nani ndani ya nchi yetu?
 
Baba mtakatifu utuache...hatutaki chanjo wala barakoa ...wazungu wanataka kutuua wote ili wachimbe madini yetu!! Sisi ni matajiri mno...Tumeshastuka...

CCM oyeeee!!
Mtakatifu wa chato anapumulia mashine india! Nani atakayetupa tena huu ukweli. Msema kweri ni mpenze wa mungu! Nawaambieni kweri ndugu zangu mimi ras wenu ninajua mengi!
 
Mungu huwapenda wanasayansi wasio na viburi
 
Hakuna mungu wala Mungu mkuu, ishi maisha yako vile utakavyo! Ukifa ndiyo mwisho wako, utarudisha hizo protons, neutrons and electrons kwa mmiliki wake, ambaye ni UNIVERSE!
Utadhani hyo elimu ya universe aliitoa babu yako hhhh. Africa my Africa why are you like this? Simu ya kuponda existence ya Mungu kakuletea huyo huyo unaesema kaleta dini miaka ya juzi tu hapa unashuhudia does it mean simu haiexist?

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Sijaona sehemu nimeandika mungu bali Mungu
Ni kweli uliandika Mungu, isipokuwa impliedly ukiandika roho mtakatifu ni sawa na kusema umeandika neno mungu, na ukiandika Roho Mtakatifu ni sawa na kusema umeandika Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…