Dkt. Leonard Chamuriho atajwa na Rais kuwa ni mtaalam wa kufanya mazungumzo - "Negotiation Expert". Je, hawa watu tunao wangapi?


Lakini katika mikataba yote mitatu muhimu nilioeleza kwenye mada ni ya kimataifa au sio?

Ni mikataba ya kimataifa, ni makubaliano ya kimataifa na ilozingatia sheria.

Nimesema humo kwenye mada kwamba mmoja wa washiriki au washiriki wa kwenye mazungumzo ni kutoka ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali.

Hata wao Misri walishirikisha wanasheria au ?
 
Negotiation Expert lazima awe anajua cultural differences mfano wataalamu wa awamu ya tano swali kuu Je wanafahamu desturi mila za waarabu mbalimbali , wazungu wa nchi tofauti , wachina n.k ili kuweza kuendesha mazungumzo. Hilo eneo la utamaduni ni mojawapo ktk vigezo vingi utambulike kama negotiation expert, Dr. Chamuriho hana vigezo hivyo.
 

Lakini ameshiriki kwenye mazungumzo na mikataba mitatu imesainiwa na sasa ipo inatekelezwa.

!., Tunangoja ndege zingine mpya (brand new) zilizobakia ziwasili mwakani.

2. Reli ya standard Gauge inatandazwa hivi sasa.

3. Kampuni ya Arab Contractors itaanza kazi huko kwenye mto Rufiji.

Hayo yote yametokana na juhudi za Dr Chamuriho, kwa mujibu wa raisi John Magufuli mwenyewe.

Sasa sifahamu ndugu yangu umesimamia wapi kwenye kubisha?
 

Ndiyo maana mikataba mingi tunapigwa sana, utaalamu huu wa ku- negotiate na hatimaye kusaini mikataba ni zaidi ya lugha, kuna vigezo vingi. Soma dondoo hii fupi itupatie picha kubwa Gonga link hii :
Overcoming Cultural Barriers in Negotiations and the Importance of Communication in International Business Deals
 
Na Dr Chamuriho ndo atakuwa wa kwanza kufikishwa mahakamani kwa ufujaji wa pesa zetu....


 
Naona umechanganya mada kidogo.

Hapa twamwongelea Dr Chamuriho.

Umesema amefuja pesa zenu.

Nikakuuliza amefuja wapi na vipi?

kama unashindwa ku-connect dots na ku cross the T then uwezo wako wa kufanya analysisi upo level ya kawaida sana
 
Katika hizo negotiations, sisi hatuna tujuacho zaidi ya "matokeo".

•Tumepata matokeo ya manunuzi ya ndege mpya
•Tumepata matokeo ya makubaliano ya ujenzi wa SGR
•Tumepata matokeo na hatimaye utiaji saini wa ujenzi wa Steigler's Gorge.

Ambacho hatujui, na sijui kama tunahitaji kujua kama walipa kodi au vipi ni
• NINI hasa kilichomo humo kwenye hayo makubaliano?
• Tunafaidika/tumefaidika vipi na hizo negotiations kama taifa?
• Makosa yatakayo fanyika, nani atakuwa responsible?

Kuna faida/hasara gani kutegemea kundi moja la watu wachache kufanya negotiations kubwa kubwa zote?

Ninachojua, Kila mtu na mtuwe. Mh. Magufuli ana watu wake anaowaamini, lazima awasifie coz wanamsikiliza na kufanya anachotaka. Hata JK alikuwa na kundi la watu wake aliokuwa anawaamini.
 
Hata prof. Mruma nae alisifiwa sana kwenye makinikia lakini vip mwisho wake!!!!?
 
Cultural complexity speaker Erin Meyer breaks down critical elements of international communication affecting day-to-day interactions in an increasingly connected globe.
 
Wenzetu wamejitayarisha kwa kujaribu kujifunza desturi na tabia za wengine ili kuweza kuwa ktk nafasi nzuri ya majadiliano kuelekea kutiwa saini mikataba ya aina mbalimbali kimataifa. Soma andiko hili hapa chini :

Cultural Differences Between Arabs and Danes :

The Intracultural Diversity’s Effect on
Intercultural negotiations

Ahmed Hamdoun Al-Soufi
A Master thesis in EU Business and Law

Cultural differences are one of the main reasons for the unsuccessful, unpredictable, and insufficient business conducting in the region.

Most of the European businessmen including the Danes are aware of culture differences and its influence on doing business, therefore,they study national culture-differences, organizational culture-differences, and interculturalcommunications, but still they can’t figure what went wrong when they can’t fulfill their goal in doing business with the Arabs.

I think the main issue here is that the vast majority of the European business schools and research centers make their cross-cultural knowledge by focusing on Western vs. Eastern cultural perspective, assuming that since Arab countries are collectivists like other Easterners, they can approach them the same way they do approach other Asians, nevertheless, the most sensitive European business people toward cultural differences, who assume that the Arab have their own culture, which is different than other Asian cultures, do put the Arabs all in the same basket. This is a huge mistake man can attribute.

Arabs are not the same, there are a big culture differences between Arabs
themselves.

Doing business in Saudi Arabia is very different than doing business in Dubai, Egypt, or Iraq. The firm, which is already, performs successfully in Egypt cant build on its prior cultural knowledge to make its entry to the Saudi’s market; if it did so then I think it is in a real problem.

Fore all these reasons I think it is important to study the Arabic culture in general, the
differences that lies between the national and ethnical cultures in the Arab countries, and its influence on doing business and especially negotiating with the Danes. Such a study can give the Danish business people an over look on the Arabic culture in general and the cultural differences between the Arabs, the Danish corporation can probably gain an extra competitive advantage by learning little bit about their close neighbors’ culture. To do this ......
Source : www.pure.au.dk
 

Umetumwa au? Umekuja kumsifia mtu bure kabisa, stop this arrogance, yeyote mwenye IQ kubwa ktk field fulani, anaweza kuwa negotiation expert mzuri sana ktk field hivyo, hivyo nothing so special.. Acha ungese..!!
 
Wacha mbwembwe weka mkataba wazi tuone pumba zilizopo unaficha mkataba unakuja kusema jamaa ni expert?
Chizi kweli ww
 
Umetumwa au? Umekuja kumsifia mtu bure kabisa, stop this arrogance, yeyote mwenye IQ kubwa ktk field fulani, anaweza kuwa negotiation expert mzuri sana ktk field hivyo, hivyo nothing so special.. Acha ungese..!!

Moja ya sifa yetu hapa ni kutumia lugha ya kistaarabu.

Respect ni njia mbili za barabara zinazopishana.
 
"Mazungumzo na Misri yalikuwa mazito na yalichukua muda mrefu"

Why??? Kwanini???? Hatari???? Wanaumeeee??????
 
Timu ya Dr. Leonard M. Chamuriho ktk picha / video iliyohusika ktk majadiliano na Waarabu wa Egypt :
12 Dec 2018
Rais Magufuli amekitaja ‘kikosi cha makamanda’ kilichotumika katika majadiliano ya mradi wa Stiegler's Gorge na kuwaongezea muda wa kufanya kazi wale ambao muda wao wa kustaafu ulikuwa

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…