TANZIA Dkt. Louis Shika Kidola afariki dunia

Tupe usiha wa marehemu pliz, maana alisema nimesikia kaka yake anasema ana mtoto mmoja wa kike yupo shinyanga, wakati yeye alituambia ana watoto ulaya na urusi


Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
Katika wosia uliosomwa Leo marehemu kweli kasoma Urusi tena udaktar wa binadamu ngazi ya juu kabisa
 
Kusoma Urusi halafu kuja kuishia kulala mnazi mmoja nje. Dah kaishi maisha ya ajabu.

Only God knows what tomorrow holds for anyone. Mtu anaweza kuseleleka kutoka President mpaka prisoner for life!
 
Only God knows what tomorrow holds for anyone. Mtu anaweza kuseleleka kutoka President mpaka prisoner for life!
Msimsingizie Mungu. Mungu katuumba kwa mfano wake. Mtu ulale nje mnazi mmoja na ulisoma ili uwe na maisha mazuri then unasema ni mpango wa Mungu. Big NO.
Sasa President uje kuwa mfungwa utakuwa umefanya kosa mwenyewe sio kumsingizia Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…