Dkt. Louis Shika: Mgeni mualikwa mahafali ya chuo cha afya Kahama Shinyanga, atangaza neema

Habari zenu wapendwa?

Naomba niende moja kwa moja kwenye maada husika.

Tangu kuibuka kwa mtu anayejiita Dr.L.Shika na kujinadi kuwa yeye ni bilionea ameweza kuwateka watu na pengine kuwaamisha kuwa yeye ni bilionea

Ukweli ni kwamba mtu huyo hana lolote Bali ni mtu aliyesongwa na dhiki pamoja na msongo wa mawazo ambao umepelekea kurukwa akili

Kwa mtu aliyesoma japo ka sehemu kadogo tu ka saikolojia hawezi amini kuwa ndugu yetu shika ni mzima

Kwa waliokuwepo Leo kwenye mahafali ya chuo cha tiba kahama wataamini kuwa jamaa yetu dishi limeyumba kwani baada ya kupewa muda wa kutoa nasaha kwa wahitimu jamaa alienda nje ya maada mpaka MC akaingilia kati na kumnyanganya mic

Wito wangu kwa jeshi la polisi naomba wamkamate mkuu wa chuo kwa kuiaibisha taaluma ya utabibu kwa kualika mtu mwemye matatizo ya akili ambapo mtu huyo ameshindwa kufanya lolote na kupelekea kuanza maigizo mbele ya mkuu wa wilaya


 
Weka hiyo video, na mlimualika kutoa nasaha yeye akiwa kama nani? Kwani mlikuwa mnafanya tangazo la biashara?
 
Samahan, video imegoma kuwekwa mwenye nayo anisaidie kuweka hapa
 
100% correct!
 
Hongera kwa kutambua umuhim wake maan weng walishamwon n mwigizaj
 
MTC haijawahi kutoa course za health hata siku moja. So huo ni uzushi uliopitiliza. MTC ilikuwa a technical college..!!
 
Kazaliwa mwaka 70 nyerere kastaafu 80+.sijui anakuaje kichwa cha nyerere
Naona kwenye hii passport mpya alipunguza miaka labda kwa issue za kiusalama maana inasemekana 1977 alikuwa MD huko mbeya..hii passport inaonyesha kazaliwa 1969????
 
Daaah..., yaan huo msafara kama bilionea kweli..., hahahahah..., big up Dkt.Shika the great!
 
Nilikua najaribu kunyapia ili nijue amelipwa pesa ngapi alipoitwa kwenye ule mualiko.....
Soon nitarejea na mrejesho, ingawa za chini ya jamvi inasemekana amehesabiwa wekundu aka shuka za kimasai 4,000
Weeeeweeeee...., u mean 40million??? U don't say....!!!
 
Duh inasikitisha sana yani inasikitisha....
Hivi vyuo uchwara hivi....afu eti chuo cha afya apo kimetoa manesi na wauguzi hao si ndo wale wanaeza kukuchoma sindano ata ya sumu mana najua watakua vilaza tu
Pole sana maana hujui ulisemalo...
Kwanza hata uhakika wa hicho chuo huna kama kinatoa kozi gani ila kwakuwa bundle ni lako ropoka kisha ukalale.
Jifunze kupata taarifa kwanza kabla hujaropoka mbele ya watu ...........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…