Na atalazimishwa tuuAtake Asitake Mpaka Afie Kwenye Kiti
Mitano ya nduli makufuli inatosha, utawala wake wa mkono wa chuma sasa basi.Hatuwataki mabeberu. Wapinzani wa aina ya Lissu na Zitto wamekuwa na watakuwa wanashirikiana na mabeberu kutuibia.
RaisHawawataki yeye na nani?
Wale mabeberu wa Barrick mbona waliwapokea wakakaa nao ndani walipotoka nje waliwaita wanaume.
Mwacheni alikaange na cotanak,Hawawataki yeye na nani? Ajisemee ye mwenyewe
Tutamuwekea PingamiziHivi kampeni zimeanza? Mbona hii ni kampeni kabisa? Ahadi kede kede na maombi ya kura! Sheria inasemaje kuhusu hili?
Abarikiwe mwanamke aliyekuleta duniani.Mnataka Tanzania iwe kama Ulaya,at the same hamuwapendi mabeberu.
Toke lini unataka kuwa kama mtu usiempenda ?
Yaani wanasiasa wa Tanzania ni ngumu kuwaelewa wanataka nini ?
Kampeni hazijaanza,CDM watasema tu.Hivi mbona hakuna mgombea anayesema atatuokoaje graduates tuliokwama kuanzia pale 2015?
.
Hapo Sasa,Tena waliwaita wanaume baada tu ya kutoka nao ndani.Aisee.!Wale mabeberu wa Barrick mbona waliwapokea wakakaa nao ndani walipotoka nje waliwaita wanaume.