Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli aivunja ngome ya CHADEMA Kilimanjaro

We kula kulala ungekuwa unalima hata mchicha usingeongea ujinga.
 

Sera mbovu ndizo uleta umasikini nchini hata ukeshe unajituma.Ungejua mambo ya uchumi ningekupa shule
 
Wewe umepata taarifa so haujui unachokisema
Wengine hapa tunakaa moshi ukweli tunaujua tusubili trh 28 ndo utakapo wajua magu alijaza nyomi au wanafunzi
 
We kula kulala ungekuwa unalima hata mchicha usingeongea ujinga.
We unadhani wote tunaishi kwa huo mchicha? We lima mchicha kwakua huo ndo level ya ubongo wako.Ikiwezekana uza na hicho kimeo chako uongezee mtaji kwenye kilimo chako Cha mchicha badala ya kushinda Jf ukilialia kuhusu ugumu wa maisha.
 
Wachaga akili zetu tunazijua tangu 1995 hatujayumba na hatuyumbishwi,hakuna maajabu yoyote yaliyofanyika Kilimanjaro awamu ya 5.Tutamshangaza Jiwe tr28
 
Kaangalie hyo video
Na wewe kaangalie hii video. Huyu mkatili, mbaguzi na mwenye roho mbaya ndio unataka kumpa awamu nyingine. Anawaita Wtanzania wenzake watoto wa kambo huku akitapanya hovyo kodi zao na kula pesa za rambi rambi...

Your browser is not able to display this video.
 
Huu msimu shule zingekuwa zinefungwa ccm wange koma.

Magufuli hajaongea na watu wazima tangu aanze kampeni.

Anaogea ni vitoto vya primary, vikiambiwa shangilieni, ni kelele bila kupumzika.
 
Chadema imewachelewesha sana. Mmefanya uamuzi Bora wa kwenda na JPM
Brother Sina Hakika sana kama Moshi imechelewa Kushinda Kishapu au Kongwa au Mtera; Brother Moshi Haijawahi kuwa chini ya CCM tangu Vyama vingi vianze, Lakini Kishapu,Mtera,Kongwa pamoja na kuwa chini ya CCM lakini huwezi fanya Comparison na Moshi Mjini. Kwa sasa naishia hapa
 
Nileteeni Kigogooooo
Nileteeni Kigogooooooo
Nileteeni Kigogoooooooo
Nileteeni Kigogooooooooooooooooohh!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…