Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli aivunja ngome ya CHADEMA Kilimanjaro

Mleta mada usidanganywe! wachaga wanajielewa sana, kwanza wameumizwa sana sana na utawala huu kuliko tawala zote!
 
Mleta mada kila siku njoo uchukue pesa ya kula lakini usiandike ukhanithi kwasababu ya njaa zako.!
 
Moshi ni chuo cha siasa ndugu.Usijidanganye.
 
Kwan ni sehemu gani jpm alienda akakosa nyomi, jitafakari
Aende bila ya Diamond na Ali Kiba aone aibu itakayo mkuta

Kule watu wanaenda kucheza JeJe ya Diamond na Mediocre Ali Kiba sio kumsikiliza Magu anaemtaka nani?

Julize watu ni walewale kwa Lissu wanafuata nini kama sio kupata shule na kujifunza sera ? Kule kwa Lissu hamna JEJE wala Konde Boy kule kuna sera bora kwa maisha bora

#NI YEYE 2020

#NI YEYE 2020
 
Ya nn kuwanyima haki wanafunzi ya kukosa vipindi Hali si wapiga kura.toka lini mgombea akawa mkuu wa nchi
Kwan sasa hivi nchi haina raisi ?
Kama inae ni Nani ?

Kikatiba Raisi anayo Mamlaka ya kuamua Jambo Lolote, ikiweno kuwaruhu wanafunzi
 
Nipe connection ya kupiga dili hata ya kuandaa kongamano la kusifia tu ili nipunguze makali mkuu
Wapiga Dili hawana akili za kulalamiko, badilika kwanza ndio upewe madili

Kwa kukusaidia
Kuna uwekezaji kwnye vitaru vya Madini mererani
 
..hadanganyiki mtu .kote huko ni mwendo wa kuzoa watu na mabasi na kufunga shule na shughuli za maofisini ili watu waende kujaza uwanja....hata leo atakua leganga arusha waalimu wote wa arumeru wameambiwa wahudhurie..na wataandikwa majina...na kesho atakua sheikh amri abeid arusha ..nako tayari waraka umetumwa wa kuwaambia watumishi wote wahudhurie mkutano huo bila kukosa na usafiri utatolewa...hii yote ili kujaza uwanja...
 
Sasa ni dhahiri JPM atashinda kwa kishindo, hata Aljazeera wamenukuu

Incumbent John Magufuli is widely expected to win re-election despite the recent return to Tanzania of main opposition challenger Tundu Lissu, who took exile in Belgium after suffering 16 bullet wounds when he was shot by unknown assailants in 2017. Endelea ......
Opposition complains of repression as Tanzania heads to the polls
cc Erythrocyte Salary Slip Retired owomkyalo
 
Umedanganyika kibwege sana !
 
Wapiga Dili hawana akili za kulalamiko, badilika kwanza ndio upewe madili

Kwa kukusaidia
Kuna uwekezaji kwnye vitaru vya Madini mererani
Sera zinapokuwa bora si lzm wote wawekeze kwenye madini
 
CCM kwa kujidanganya kweli hawajambo...
 
Hana huo ubavu hata. Ungesema Chatco ningelikuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…