Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli aivunja ngome ya CHADEMA Kilimanjaro

Kwa utaratibu anaotumia jpm kila sehemu lazima apate hicho kiitwacho nyomi.maana kila aendapo watu husombwa toka maeneo ya pembezoni na kujaza hapo na magari bila kusahau wanafunzi na wafanyakazi wa eneo hilo
Naunga mkono hoja, ccm wanajidanganya, ivi ukisema sina njaa wakati hujala unamdanganya nani?
Watu wanabebwa na malori, wanafunzi, watu wengi wanafuata mziki, alafu wanaita nyomi ka kukubali, huku siyo kujidanganya!!!!
 
Huu ubishana wa kisenge Sasa
RaisI nae anawajibu
Ni wajibu wake kuomba kura tena baada ya miaka mitano kupitia cham chake
Yani we ni mtoto sana unavyoonekana Mambo yako mengi Dogo Sio hayo tu
Alisomesha watu namba ajiandae kuzisoma kura zao
 
Watanzania tumeshuhudia kwa macho yetu jinsi Mhe Rais Magufuli alivyopokelewa na nyomi kubwa Kilimanjaro. Haijawahi kutokea.

Taarifa za ndani kutoka mkoa huo ni kwamba Mheshimiwa Rais Magufuli amevunja kabisa ngome ya Chadema Kilimanjaro. Wanakilimanjaro wameguswa sana na maendeleo yaliyofanywa kwenye mkoa huo.

Hii ni ishara ya wazi kuwa atapata kura za kishindo mkoa wa Kilimanjaro katika uchaguzi wa wiki ijayo.

Kwa mujibu wa taarifa hizo za uhakika ndani ya mkoa huo, kuna uwezekano mkubwa Chadema kwa mwaka huu isipate hata Mbunge mmoja katika mkoa wa Kilimanjaro. Ni kutokana na maji kuwa shingoni ndiyo maana Mbowe hajapata hata nafasi ya kuungana na Lissu kwenye kampeni. Yeye mwenyewe amesikika akisema mara nyingi kuwa anapambana na hali yake.

Taarifa za kiuchunguzi zinaeleza kuwa Chadema inatarajia kupata madiwani tu wachache kwenye mkoa huo.

Hongereni wanakilimanjaro kwa kuamua kupanda train la maendeleo na kusafiri na JPM. Chadema imewachelewesha sana. Mmefanya uamuzi Bora wa kwenda na JPM
Kuivunja ngome ya cdm mkoa wa Kilimanjaro labda azitoe roho za wachaga wote kwani cdm unaishi na itaendelea kuishi ndani mwao daima!
Hilo nyomi alilodanganywa nalo ni watu waliosombwa na malori kutoka upareni na siha pamoja na marangu kwa ujira wa buku kumi! Ushahidi ni Mimi mwenyewe na niliilamba buku kumi kiulaini na lift ya Bure kuja mjini bila nauli!
Mkoa wa Kilimanjaro aliubagua Sana kimaendeleo na hata kwenye nafasi za uteuzi seeikalini Tena kwa kutamka bila kificho kwenye hotuba zake na isitoshe aliwaita wezi na wabadhirifu!
Kaua zao la kahawa lililokuwa uti wa mgongo kwa wanakilimanjaro kwa makusudi.! Asijidanganye kuwa atapata kura mkoani Kilimanjaro!
 
Mji wa Moshi waweza linganisha na mji wa DODOMA kimaendeleo? mji wa DODOMA haujawahi kuwa chini ya upinzani
Tena Dodoma ni Hapo Town tuu Brother ndio unaweza usilinganishe na Moshi, Lakini the Rest of Dodoma Kama umetembea Utafahamu Hali yake Ilivyo Majimbo kama Kibakwe, Kongwa, Bahi, Kondoa, Chamwino, Mtera huwezi fananisha na Majimbo ya Vijijini ya Moshi, kama Rombo, Hai, Most Of Huduma za Msingi zipo; Sasa inakuwaje majimbo ambayo CCM imekaa nayo muda wote Maji ni changamoto? Kama Kibwakwe na Kongwa hali ya maji sio nzuri, wa maeneo haya wanajua.
 
Kwa utaratibu anaotumia jpm kila sehemu lazima apate hicho kiitwacho nyomi.maana kila aendapo watu husombwa toka maeneo ya pembezoni na kujaza hapo na magari bila kusahau wanafunzi na wafanyakazi wa eneo hilo
Wafanyakazi hadi wametumiwa barua za mwaliko!
 
Kwa utaratibu anaotumia jpm kila sehemu lazima apate hicho kiitwacho nyomi.maana kila aendapo watu husombwa toka maeneo ya pembezoni na kujaza hapo na magari bila kusahau wanafunzi na wafanyakazi wa eneo hilo
Subili baada ya uchaguzi.
 
Kwani wakulima wa korosho,kahawa,pamba, wafanyabiashara awafanyi kazi.

Kama Hakuna mzunguko mzuri wa pesa kwenye uchumi utaishia kufanya kazi utavuna kazi na sio matunda ya kazi
Jiandae psychologically.
 
Watanzania tumeshuhudia kwa macho yetu jinsi Mhe Rais Magufuli alivyopokelewa na nyomi kubwa Kilimanjaro. Haijawahi kutokea.

Taarifa za ndani kutoka mkoa huo ni kwamba Mheshimiwa Rais Magufuli amevunja kabisa ngome ya Chadema Kilimanjaro. Wanakilimanjaro wameguswa sana na maendeleo yaliyofanywa kwenye mkoa huo.

Hii ni ishara ya wazi kuwa atapata kura za kishindo mkoa wa Kilimanjaro katika uchaguzi wa wiki ijayo.

Kwa mujibu wa taarifa hizo za uhakika ndani ya mkoa huo, kuna uwezekano mkubwa Chadema kwa mwaka huu isipate hata Mbunge mmoja katika mkoa wa Kilimanjaro. Ni kutokana na maji kuwa shingoni ndiyo maana Mbowe hajapata hata nafasi ya kuungana na Lissu kwenye kampeni. Yeye mwenyewe amesikika akisema mara nyingi kuwa anapambana na hali yake.

Taarifa za kiuchunguzi zinaeleza kuwa Chadema inatarajia kupata madiwani tu wachache kwenye mkoa huo.

Hongereni wanakilimanjaro kwa kuamua kupanda train la maendeleo na kusafiri na JPM. Chadema imewachelewesha sana. Mmefanya uamuzi Bora wa kwenda na JPM
Tangu jana mafuso yalikuwa yanasomba wana vijiji kwa posho ya 5000.kuwapeleka hapo moshi
 
Raisi yupo hai kwa mbowe, nadhani hapo alipo anakunywa faru john huku akisonya sonya tu,
Akisikia watu wanaenda kwake anajifungia chumbani. 😁😁😁😁
 
Thubutu, watu waliosombwa kwa malori hawawezi kumfanya mtu ashinde uchaguzi.
Mnashangaza Sana CDM wananchi wakifika mkutanoni kwa punda, bodaboda,gari,guta, fuso, utong na nk... Lengo kusikiliza sera kwa muomba kura. Kama huna nyenzo za kuwafikisha mkutanoni watu hiyo ni tatizo lako. CCM ni chama tajiri kinapendwa na wananchi wengi waliko pembezoni mwa miji na wa mjini. Kiongozi wao mkuu anapofika katika maeneo ya jirani ni lazima wasafiri ili waweze kushiriki mkutano. Sasa sielewi point yenu nini hapo mnaposhanga kwamba watu wamefika mkutanoni kwa magari wakati wagombea wanafika kwa magari pia.
 
Ndugu huwajui wachaga vizuri
Watanzania tumeshuhudia kwa macho yetu jinsi Mhe Rais Magufuli alivyopokelewa na nyomi kubwa Kilimanjaro. Haijawahi kutokea.

Taarifa za ndani kutoka mkoa huo ni kwamba Mheshimiwa Rais Magufuli amevunja kabisa ngome ya Chadema Kilimanjaro. Wanakilimanjaro wameguswa sana na maendeleo yaliyofanywa kwenye mkoa huo.

Hii ni ishara ya wazi kuwa atapata kura za kishindo mkoa wa Kilimanjaro katika uchaguzi wa wiki ijayo.

Kwa mujibu wa taarifa hizo za uhakika ndani ya mkoa huo, kuna uwezekano mkubwa Chadema kwa mwaka huu isipate hata Mbunge mmoja katika mkoa wa Kilimanjaro. Ni kutokana na maji kuwa shingoni ndiyo maana Mbowe hajapata hata nafasi ya kuungana na Lissu kwenye kampeni. Yeye mwenyewe amesikika akisema mara nyingi kuwa anapambana na hali yake.

Taarifa za kiuchunguzi zinaeleza kuwa Chadema inatarajia kupata madiwani tu wachache kwenye mkoa huo.

Hongereni wanakilimanjaro kwa kuamua kupanda train la maendeleo na kusafiri na JPM. Chadema imewachelewesha sana. Mmefanya uamuzi Bora wa kwenda na JPM
 
Kweli mkuu
Wachaga hatuwezi kuchagua mtu mbaguzi aliyetubagua miaka mitano na kuvunja nyumba zetu morogoro road .maendeleo gani ameleta kilimanjaro uonngo mtupu kura yetu kwa lissu
 
Kuivunja ngome ya cdm mkoa wa Kilimanjaro labda azitoe roho za wachaga wote kwani cdm unaishi na itaendelea kuishi ndani mwao daima!
Hilo nyomi alilodanganywa nalo ni watu waliosombwa na malori kutoka upareni na siha pamoja na marangu kwa ujira wa buku kumi! Ushahidi ni Mimi mwenyewe na niliilamba buku kumi kiulaini na lift ya Bure kuja mjini bila nauli!
Mkoa wa Kilimanjaro aliubagua Sana kimaendeleo na hata kwenye nafasi za uteuzi seeikalini Tena kwa kutamka bila kificho kwenye hotuba zake na isitoshe aliwaita wezi na wabadhirifu!
Kaua zao la kahawa lililokuwa uti wa mgongo kwa wanakilimanjaro kwa makusudi.! Asijidanganye kuwa atapata kura mkoani Kilimanjaro!
Magufuli ameuaje zao la kahawa kwa mfano? Zao la kahawa liliporomoka tokea utawala wa Mzee Mwinyi baada ya Mbunge wa wakati ule Augustino Lyatonga Mrema kushupalia mkulima alipwe pesa yake yote kama ni dawa watanunua wenyewe. Wakati ule ilikuwa kila mkulima akipeleka kahawa yake KNCU kuna makato ya Pembejeo na wakulima walikuwa wanagaiwa madawa bure na msaada wa kitaalamu ni wakati gani wapi dawa.

Bei ya kahawa ilipopanda baada ya makato ya pembejeo kuondolewa, wakulima akiwepo Baba yangu hakuna alikwenda TFA kununua dawa na huo ndio ukawa mwisho wa mashamba madogo madogo ya kahawa kule Kilimanjaro.
 
Kwa utaratibu anaotumia jpm kila sehemu lazima apate hicho kiitwacho nyomi.maana kila aendapo watu husombwa toka maeneo ya pembezoni na kujaza hapo na magari bila kusahau wanafunzi na wafanyakazi wa eneo hilo
umesahau wasanii. Hata mzee rungwe akipewa ally kiba na nasseb atajaza Mkapa stadium.
 
Back
Top Bottom