Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli akemea wanasiasa wanaochochea fujo


Mtanzania usiyejua kujivunia nchi yako
ya kaisari mpe kaisari
CHA MTANZANIA MPE MTANZANIA CHA MBELIGIJI MPE MWENYEWE
HAYA ELEZEA TANZANIA KUNA VOHA YA BURE APA
 
akemee tumeccm kwanza na wakurugenzi pamoja na polisiccm
 
We kila siku maneno yako ni haya haya ya kipumbavu kila inapowekwa komenti yoyote inayomuhusu mhe Rais Magufuli, kwani we ulimuona ameshika bunduki anamlenga huyo kichaa mwenzenu!!? Unakera sana weye ng'ombe.
ukweli lazima uwakere,endeleeeni kukereka
 
Zimebaki siku 3
Ifikapo Oktoba ukiwa ndani ya chumba cha kupiga kura usipate shida sana
Picha ya kwanza Katika kibox cha kwanza ni CCM utakuta picha ya mwanamama SAMIA SULUHU na inafatia picha ya DK.JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI #magufuli mbele weka alama✅ ndani ya kibox
#ChaguaMagufuli
 
We kila siku maneno yako ni haya haya ya kipumbavu kila inapowekwa komenti yoyote inayomuhusu mhe Rais Magufuli, kwani we ulimuona ameshika bunduki anamlenga huyo kichaa mwenzenu!!? Unakera sana weye ng'ombe.
Kama sio afisa kipenyo bila shaka ni JESKA

Sio kwa povu hilo
 
We kila siku maneno yako ni haya haya ya kipumbavu kila inapowekwa komenti yoyote inayomuhusu mhe Rais Magufuli, kwani we ulimuona ameshika bunduki anamlenga huyo kichaa mwenzenu!!? Unakera sana weye ng'ombe.
Wewe ndie unakera.huyo magufuli wako ni muuaji ambae hajifichi.
Ni muuaji,tunamchukia kwa ajili ni muuaji tutakupigia yowe na huyo mtu wako.
 
Meko ni mentalcase yeye ndio muuaji na kutaka abakie madarakani,kura haibi hata moja tunapiga na kulinda kura vituoni
 
Mtukufu magufuli aache kuwabambikia kesi kesi kuwapiga risasi wapinzani aache uonevu unyanyasaji uovu mateso kwa wapinzani
 
Polisiccm na NECCCM Tumeccm kutaka kuibeba CCM kwa njia haramu za kishetani ndiyo watasababisha vurugu kubwa ni vyema ACT na chadema wawashitaki ICC mapema kwa viashiria vyao vya kuandaa mazingira ya wizi wa kura uchakachuaji na mbinu nyingi za hovyo kuiokoa CCM yenye hali mbaya kutokana na watu kuchoka na mateso na manyanyaso ya udikiteta wa kaburu Mkoloni mweusi tokea chato
 
Watanzania wa wapi unawasemea? au watanzania wako binafsi hapo unaposhinda ukivuta Bangi? Hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu anapenda watu waonewe wabambikiwe kesi wapigwe risasi wafanyabiashara kubambikiwa kodi TRA kupewa kesi za uhujumu uchumi huku BOT wakiwapora watu pesa zao kisha kuwatishia kesi za utakatishaji pesa, Nchi imevurugwa hakuna HAKI Mkoloni kaburu mweusi anawatesa watu.
 
Hebu peleka ujinga wako, lissu amekuwa wa kwanza kunadi vurugu, na kwa uwezo wa mungu tarehe 28 tutashinda na amani itaendelea kutawala....
Chaguo langu ni Magufuli [emoji169][emoji172][emoji736][emoji736]
Wewe ndiyo mjinga mkubwa mungu wa wapi atakubali upumbavu wa CCM kutumia Polisiccm NECCCM Tumeccm kuwahujumu wapinzani
 
Lile kundi lilioanzishwa na Rashid Gwajima la kuwataka wasukuma waungane ni kundi la kiroho au sio ?
 
Huyo ni kiuno cha pweza kweli aiseee,MAGUFULI ANALETA MAENDELEO YEYE AMEKAZANIA UONGO TUU.

Nachukia upotoshwaji wa hawa mbwa wa kipinzani mimi aiseee.


Magufuli ndio Raisi wetu 2020-2025
Magufuli analeta maendeleo kwa pesa zake binafsi tokea mfukoni? au kwa pesa za walipa kodi? Kwani maendeleo ni Hisani za CCM? Wewe ndiyo mbwa acha ufala wako usifikiri watanzania ni wapumbavu kama wewe
 
CCM ndio wanaochochea fujo kwa
vitendo vyao kwa kukataa kuwaapish
a mawakala wa vyama vya upinzani
pasipo sababu za msingi
ICC tayari wapo Tanzania wanaandaa list ya miccm inayoleta ujinga kwa kuwatumia Polisiccm na NECCCM Tumeccm kusababisha vurugu
 
Hii ni sawa na kukemea pombe lakini unakunywa wine . Ukiamini pombe ni bia tu. Wanywaji wenzangu mmenielewa
 
Chini ya utawala wa Magufuli watu wengi wamepotea na kuuwawa na kushambuliwa kwa risasi
Hata BOT imewapora watu pesa nyingi walizotumiwa toka nje ya Nchi na kuvunja rekodi ya kuwa benk zulumati kupita bank zote Duniani, utawala wa mtukufu magufuli ni utawala wenye manyanyaso mateso makubwa kwa wananchi
 
Hii ni sawa na kukemea pombe lakini unakunywa wine . Ukiamini pombe ni bia tu. Wanywaji wenzangu mmenielewa
CCM hawana mfano wa kuigwa hata mmoja kwani wamejaa ushetani usio na kifani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…