Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli akishinda, Afrika imeshinda

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli akishinda, Afrika imeshinda

Naam ni masaa machache tu yamebaki , kumshikisha adabu yule kibaraka wa amsterdam!.
Akishinda huyo mnaye mnadi mjiandae kila mbwata yaani kuishi kwa taabu na huenda bila mlo wa siku! Nyie shangilieni tu kwa kuwa hamuijui hulka yake! Hashauriki Wala kuambilika huyo!
 
Andika yooooote ila jua tu

[emoji117]mfuko wa cement ni 22000/= na haichimbwi na mabebebru

[emoji117]Nondo ml 12 ni 20000 elfu na haitoki kwa mabebebru

[emoji117]Bati moja lile lakawaida linaanza na bei ya sh 15000/=

Pili,

[emoji117]shule zetu darasa moja la sekondari linabeba watoto zaidi ya 120 kwa mkondo mmoja

[emoji117]Watoto 1500 wanatumia matundu 15 ya vyoo wasichana 10 wavulana 5

[emoji117]Jua tu kwamba maji ya kunywa safi na salama bado nishida

Hayo ni baadhi.......
 
Akishinda huyo mnayemnadi mjiandae kila mbwata yaani kuishi kwa taabu na huenda bila mlo wa siku! Nyie shangilieni tu kwa kuwa hamuijui hulka yake! Hashauriki Wala kuambilika huyo!
Unafikili Mimi nakula kwa taabu kama wewe! Au unafili Rais ananilisha ? Ndio uwezo wako wa kufikiri ulipoishia hapo!.
 
Unafikili Mimi nakula kwa taabu kama wewe! Au unafili Rais ananilisha ? Ndio uwezo wako wa kufikiri ulipoishia hapo!.
Wewe ni kubwajinga na huna hata uwezo wa kujilisha! Na Kama unao huo uwezo, kwa dadako unafanya Nini? Mbona hujitegemei na badala Yake unaishi kwa msaada wa shemejio?
Wanaojilisha wanajitambua na huwezi kufanana nao hata kidogo!
Ulivyo na akili kisoda unadhani rais hulisha watu! Watu hulishwa na Sera nzuri zinazotekelezeka na zenye Tija! Hebu sema hapa, ccm Wana Sera gani za kuchagiza maendeleo ya mwananchi mmojammoja! Kakojoe ulale hapo sebuleni kwa dadako!
 
Humu JF kuna team ya wanafiki mmejaa humu kujibu kila Comment.... vijana tuache kuendekeza njaa!

Hivi kama kweli anajiamini kwanini atuzimie mitandao ya kijamii?? Au mnaamini kila mtu ni mpenda siasa?
Kilaaniwe kizazi chenu wote mnaoendeleza haya yote.

Huu upuuzi wenu unaanza kutugusa hadi sisi ambao tumejiweka kando na vichwa panzi nyie
Hayo matusi yanashusha utu wako, Hapa ni Taifa kwanza, mengine baadae. Kama internet imezimwa, umewezaje kupost hiyo comment yako?
 
Humu JF kuna team ya wanafiki mmejaa humu kujibu kila Comment.... vijana tuache kuendekeza njaa!

Hivi kama kweli anajiamini kwanini atuzimie mitandao ya kijamii?? Au mnaamini kila mtu ni mpenda siasa?
Kilaaniwe kizazi chenu wote mnaoendeleza haya yote.

Huu upuuzi wenu unaanza kutugusa hadi sisi ambao tumejiweka kando na vichwa panzi nyie
Mnafiki ni wewe unaepost JF wakati unalalamika internet imezimwa
 
Wewe ni kubwajinga na huna hata uwezo wa kujilisha! Na Kama unao huo uwezo, kwa dadako unafanya Nini? Mbona hujitegemei na badala Yake unaishi kwa msaada wa shemejio?
Wanaojilisha wanajitambua na huwezi kufanana nao hata kidogo!
Ulivyo na akili kisoda unadhani rais hulisha watu! Watu hulishwa na Sera nzuri zinazotekelezeka na zenye Tija! Hebu sema hapa, ccm Wana Sera gani za kuchagiza maendeleo ya mwananchi mmojammoja! Kakojoe ulale hapo sebuleni kwa dadako!
Matusi ni Sera yenu
 
Afrika nzima inamkubali, amka ukampigie kura
IMG_20201028_092336.jpg

Tayari nimewachinja maccm ✌️✌️
 
Mnafiki ni wewe unaepost JF wakati unalalamika internet imezimwa

Majaribio zaidi ya 13,000 kuizima JF yameshindwa mlamu, mamlaka zimenyoosha mikono na kukubali matusi ya uchwara.
 
Walioshinda ni watawala na familia zao wanaomiliki mabilion ya pesa na Mali zenye thamani ya matrion katika nchi maskini.

Ndio maana kila MTU anajipendekeza ili apate uteuzi.
Pato la taifa linawanufaisha moja kwa moja watawala mifukoni mwao huku wakishika miradi mikubwa kwa fedha keshi ili kuwanufaisha watu wao wa Karibu.

Wao wanakuambia kuwa watanufaika wajukuu zako lakini wao na watoto wao na wake zao na wajomba zao wananufaika Leo.
Tafakari !!
 
Back
Top Bottom