Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli akiwa Misungwi; Nimebaki mimi tu kwa sababu hamnipendi, hamjanipitisha bila kupingwa

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli akiwa Misungwi; Nimebaki mimi tu kwa sababu hamnipendi, hamjanipitisha bila kupingwa

Hahaha Unamwones Huruma Eeeh ,Au Anakunyoosha Mpka Hujielewi ,unabaki unajifariji kwa Matusi YANI KAMA UNAMCHUKIA MAGU JIANDAE MIAKA 5 TENA YA MAUMIVU YA MOYO MAANA MTAKUFAWENGI BAVICHA KWA PRESSURE
Wewe ni msukule hujitambui...siwezi kujibizana na wewe pengine unakula na kulala kwa shemeji.
 
Dkt. Magufuli asubuhi hii amefanya mkutano wa kampeni katika jimbo la Misungwi jijini Mwanza na kuwataka watanzania tupendane.

Dkt. Magufuli amewasihi wananchi kutobaguana kwa misingi ya chama cha siasa, dini au kabila kwa mustakabali mwema wa taifa letu...
Hivi anaongea vitu gani? Mwenyewe anaongoza kwa Ubaguzi na ufashism
 
Dkt. Magufuli asubuhi hii amefanya mkutano wa kampeni katika jimbo la Misungwi jijini Mwanza na kuwataka watanzania tupendane.

Dkt. Magufuli amewasihi wananchi kutobaguana kwa misingi ya chama cha siasa, dini au kabila kwa mustakabali mwema wa taifa letu.

Kadhalika Dkt. Magufuli amewataka wanamisungwi kuchagua Rais, mbunge na diwani kutoka CCM ili waendeleze maendeleo yaliyo katika ilani ya uchaguzi.

Source: Channel Ten

Maendeleo hayana vyama!
Ameshachanganyikiwa! sijuizi tu ametoka kuwatisha watu, kuwa wakichagua upinzani watakiona!!?? je huku sio jutengana na kubaguana? amesema bunda wakichagua upinzani na mumuona? sijapeleka maendeleo! CCM wote mmechanganyikiwa! kuan a wewe mtoa mada!!
 
Magufuli anajua pa kuanzia kampeni zake mfano katika miradi mikubwa aliyotekeleza na maendeleo kwa ujumla Sasa sijui wenzetu huwa wanaanzia wapi manake hawana reference

Wenzako awajashika dola hivyo kufananisha upinzani na Chama kilichopo madarakani tokea 1961 mpaka sasa , na bado unaambia wananchi wako mradi wa maji 2020 ,kweli watanzania tunahitaji elimu ya kuhusu kujitambua .
 
Wewe ni msukule hujitambui...siwezi kujibizana na wewe pengine unakula na kulala kwa shemeji.
Subiri Kuingia Barabarani wewe upate Kilema Cha Maisha Halafu Lissu Akupe Pole kupitia YouTube akiwa Ubeligijii
 
Back
Top Bottom