Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli akiwa Misungwi; Nimebaki mimi tu kwa sababu hamnipendi, hamjanipitisha bila kupingwa

Wewe itakuwa wanakuchapia maana si kwa woga huo mtoto wa kiume.
Sio Uwoga Unataka Niingie BaraniBarani Kuupinga Ukweli? Mimi sio Kichaaa kama BAVICHA mnaoishi Maisha ya Kufikilika na Kuukataa uhalisia MAGUFULI 5 TENA.
 
EEee! kila mtu akale aliko peleka mboga
Na waliomchagua,tuseme watu laki 3 wamempa mpinzani na watu laki 2 wamempa CCM!Hao laki 2 na wenyewe wakale wapi?

Nways ukija kwenye mantiki,mnaonaje mbadili katika ili iwe kwenye maandishi kuwa serikali inayochaguliwa itapeleka maendeleo kule tu iliposhinda viti vya ubunge na udiwani?

Hivi mmefikia hatua ya kujitoa ufahamu kwa kiwango hiki?Akili zenu ziko sawasawa kweli?
Futeni mfumo wa vyama vingi ili kuondoa huu mkanganyiko kwa wananchi!

Wananchi muwaambie wako huru kuwa chama chochote na kupigia kura chama chochote kwenye katiba,halafu mnakuja kuwaambia wakichagua cha fulani basi maendeleo wasahau!Hii ni nini?
 
Katika uchaguzi kuna kupata na kukosa. Ni hiyari yako kuchagu fungu la kukosa au la kupata. Ukichagua la kukosa basi kubali kukosa. Ukichagua fungu la kukosa utakachopata ni kile statutoly. Ila yale ambayo yanapatikana kwa preference usahau.
 
Ametugawa sana kikabila, na kisiasa, anayoyaongea na anayotenda ni vitu viwili tofaut kabisa
heri angekuwa na msimamo kwenye kitu kimoja na siyo kuwa mnafki ,anadhani asubuhi anahubiri maendeleo hayana vyama jioni anahubiri mkiniletea wabunge wa upinzani sintawajengea hii barabara ,mzee ni mnafki sana
 
Dkt. Magufuli asubuhi hii amefanya mkutano wa kampeni katika jimbo la Misungwi jijini Mwanza na kuwataka Watanzania tupendane.

Dkt. Magufuli amewasihi wananchi kutobaguana kwa misingi ya chama cha siasa, dini au kabila kwa mustakabali mwema wa taifa letu.

Kadhalika Dkt. Magufuli amewataka wanamisungwi kuchagua Rais, mbunge na diwani kutoka CCM ili waendeleze maendeleo yaliyo katika ilani ya uchaguzi.

Source: Channel Ten

Maendeleo hayana vyama!

==============

Rais Magufuli leo Jumanne anaendelea na kampeni za kuwania Urais na kuwanadi Wabunge na Madiwani wa chama anachokiongoza. Amepita Misungwi jimbo lilikuwa linaongozwa na waziri wa zamani wa mambo ya ndani, Charles Kitwanga ambalo kwa sasa CCM ilimpitisha ndugu Mnyeti, Hii ni sehemu ya hotuba yake fupi.

DKT MAGUFULI: Ninachowaambia mimi niko nyumbani, ninawashukuru sana watu wa Misungwi mmepitisha mbunge bila kupingwa, mmepitisha madiwani bila kupingwa, hongereni sana. Nimebaki mimi tu kwa sababu hamnipendi, hamjanipitisha bila kupingwa, wangapi mtanipitisha bila Kupingwa? Asanteni sana.

Nataka nieleze ukweli, mlikuwa na mbunge hapa, Kitwanga alikuwa ananisumbua sana baadhi ya miradi. Ni lazima tujue historia ilikotoka, mahali tulipo na tunapoenda na Mnyeti atakuwa Mbunge.

Katika mipango ambayo imefanyika hapa ni mingi, hata hili barabara halikuwepo, katika kipindi cha miaka mitano tulilifanya na alienisumbua ni Kitwanga, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.

Nataka niyazungumze haya, bahati nzuri katika kazi zetu huwa sio za maisha. Palikuwa na Nyerere akamaliza muda wake, akaja Mwinyi akamaliza miaka yake kumi, akaja Mkapa akamaliza miaka yake kumi, akaja Kikwete miaka yake kumi na mimi mkitipisha hapa imebaki miaka mitano tu watakuja na wengine.

Hapa tuna mradi mkubwa wa maji ambao utagharimu bilioni 12 utakaonufaisha watu zaidi ya sitini na nne elfu.

Tumeanza vizuri, naomba mtuamini, naomba muendelee kuiamini CCM na hasa mnaona kazi nyingine ambayo inafanyika hapo Kigongo-Busisi, tunatengeneza daraja ambalo halijawahi kuonekana Tanzania na Afrika mashariki, daraja la kilomita 3.2.

Sasa msiache mkanichagua, yakaja mengine yakafuta haya mamiradi kwa sababu gharama ya daraja hili ni bilioni 699, bilioni 700 tunaziweka hapa. Ninachowaomba ndugu zangu wa Usagara na Misungwi endeleeni kushikamana, muwe wamoja. Haya mambo ya siasa yaliyokuwa yanawatenganisha myaache na bahati nzuri ndoa ya Mnyeti, alieiandaa ni Kitwanga.

MNYETI: Mheshimiwa Rais ni kweli kama ulivyosema, ndoa yangu aliiandaa mzee Kitwanga, namheshimu sana, nampenda sana siku zote.

MAGUFULI: Nampongeza Mnyeti kwa kushinda, nawapongeza waheshimiwa madiwani. Ninafahamu kuna appeal zitatokea tokea lakini tusubiri hilo ni kazi la tume pia nawapongeza wananchi wa hapa kwa kushikamana, maendeleo hayana chama.

Nina mke wangu nae nilimuoa Misungwi, mke wa Kitwanga hebu njoo hapa bwana.

MAMA JANETH MAGUFULI: Tunamuombea kura Rais, wabunge, madiwani, mtawachagua? Basi tunawashukuru sana asanteni.

MAGUFULI: Jamani nawapenda, nitakuja siku moja tufanye mkutano hapa.

Nadhani wote ni mashahidi wa usemi huu ambao jamaa yetu, ameutumia kuwalaghai wananchi kuwa yeye ni msema kweli. Mtu huyu ni wa ajabu sana maana amekuwa akisahau sana kuwa yeye ni mtakatifu ambaye ataongoza malaika mbinguni, huku akisahau kuwa anawafanya wale wote wanaoishi kama malaika wawe kama mashetani.

Msema kweli mpenzi wa Mungu amekuwa akibadilisha ukweli kuwa ulaghai, kwa mfano, alipokuwa mahali fulani, alisema mgombea Urais wa chama fulani aache kusaka Urais atampa kazi. Huyo aliyeambiwa maneno hayo akamjibu kwamba awape kazi wale anaowaokota majalalani. Msema kweli mpenzi wa Mungu, kama kawaida yake katengeneza ulaghai wake kwamba, jamaa amewaita wafanyakazi wote wa umma wameokotwa majalalani......huyu msema kweli mpenzi wa Mungu ni mlaghai sana sana.
 
Hahaha Unamwones Huruma Eeeh ,Au Anakunyoosha Mpka Hujielewi ,unabaki unajifariji kwa Matusi YANI KAMA UNAMCHUKIA MAGU JIANDAE MIAKA 5 TENA YA MAUMIVU YA MOYO MAANA MTAKUFAWENGI BAVICHA KWA PRESSURE
Nadhani wote ni mashahidi wa usemi huu ambao jamaa yetu, ameutumia kuwalaghai wananchi kuwa yeye ni msema kweli. Mtu huyu ni wa ajabu sana maana amekuwa akisahau sana kuwa yeye ni mtakatifu ambaye ataongoza malaika mbinguni, huku akisahau kuwa anawafanya wale wote wanaoishi kama malaika wawe kama mashetani.

Msema kweli mpenzi wa Mungu amekuwa akibadilisha ukweli kuwa ulaghai, kwa mfano, alipokuwa mahali fulani, alisema mgombea Urais wa chama fulani aache kusaka Urais atampa kazi. Huyo aliyeambiwa maneno hayo akamjibu kwamba awape kazi wale anaowaokota majalalani. Msema kweli mpenzi wa Mungu, kama kawaida yake katengeneza ulaghai wake kwamba, jamaa amewaita wafanyakazi wote wa umma wameokotwa majalalani......huyu msema kweli mpenzi wa Mungu ni mlaghai sana sana.
 
Tuanze hapa
1.Nani anahubiri fujo
2. Kwanini anahubiri fujo
3. Angalia usikute huyu ynayemsifu kuwa anahubiri amani ndo zao la wengine kutahadharisha fujo

Chunga sana

Magufuli must go
Tunataka mgombea urais anaehubiri amani Kama Dr John Pombe Magufuli hawa wengine wanaohubiri fujo na chuki hakika kura zetu hawatapata tutawaelekeza watoto wetu mama zetu na baba zetu hakuna kuchagua hao wahuni
Ri
 
Katika uchaguzi kuna kupata na kukosa. Ni hiyari yako kuchagu fungu la kukosa au la kupata. Ukichagua la kukosa basi kubali kukosa. Ukichagua fungu la kukosa utakachopata ni kile statutoly. Ila yale ambayo yanapatikana kwa preference usahau.
Mimi nilijua nchi hii kuna mipango ya maendeleo inafanyika kulingana na mahitaji ya maeneo husika na fursa zinazoweza kukuza uchumi!Kumbe kuna upendeleo kwa kuangalia maeneo yapi walipigia kura CCM!
Haya yote yameibuka awamu hii ya Tano tu!Marais waliopita hawakuwa hivi!Wao walikuwa wajinga?Nyerere angekuwa mbaguzi,sidhani kama taifa hili lingefika hapa!Waliomfuata wamgekuwa wanatekeleza iradi ya maendeleo kwa upendeleo kama huyu wa sasa,sidhani kama tungekuwa hapa!
JPM ni kiongozi ambaye kwa kiasi kikubwa huhubiri kuligawa taifa badala ya kuliunganisha!
JK alikuwa na moyo gani mpaka kumteua Mbatia kuwa mbunge kwa tiketi ya NCCR katika nafasi zake 10 za uteuzi?
Nape,January,Makamba na Kinana walikuwa sahihi kumteta JPM kuwa ni Rais mshamba na aliyechanganyikiwa!
 
Dkt. Magufuli asubuhi hii amefanya mkutano wa kampeni katika jimbo la Misungwi jijini Mwanza na kuwataka Watanzania tupendane.

Dkt. Magufuli amewasihi wananchi kutobaguana kwa misingi ya chama cha siasa, dini au kabila kwa mustakabali mwema wa taifa letu.

Kadhalika Dkt. Magufuli amewataka wanamisungwi kuchagua Rais, mbunge na diwani kutoka CCM ili waendeleze maendeleo yaliyo katika ilani ya uchaguzi.

Source: Channel Ten

Maendeleo hayana vyama!

==============

Rais Magufuli leo Jumanne anaendelea na kampeni za kuwania Urais na kuwanadi Wabunge na Madiwani wa chama anachokiongoza. Amepita Misungwi jimbo lilikuwa linaongozwa na waziri wa zamani wa mambo ya ndani, Charles Kitwanga ambalo kwa sasa CCM ilimpitisha ndugu Mnyeti, Hii ni sehemu ya hotuba yake fupi.

DKT MAGUFULI: Ninachowaambia mimi niko nyumbani, ninawashukuru sana watu wa Misungwi mmepitisha mbunge bila kupingwa, mmepitisha madiwani bila kupingwa, hongereni sana. Nimebaki mimi tu kwa sababu hamnipendi, hamjanipitisha bila kupingwa, wangapi mtanipitisha bila Kupingwa? Asanteni sana.

Nataka nieleze ukweli, mlikuwa na mbunge hapa, Kitwanga alikuwa ananisumbua sana baadhi ya miradi. Ni lazima tujue historia ilikotoka, mahali tulipo na tunapoenda na Mnyeti atakuwa Mbunge.

Katika mipango ambayo imefanyika hapa ni mingi, hata hili barabara halikuwepo, katika kipindi cha miaka mitano tulilifanya na alienisumbua ni Kitwanga, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.

Nataka niyazungumze haya, bahati nzuri katika kazi zetu huwa sio za maisha. Palikuwa na Nyerere akamaliza muda wake, akaja Mwinyi akamaliza miaka yake kumi, akaja Mkapa akamaliza miaka yake kumi, akaja Kikwete miaka yake kumi na mimi mkitipisha hapa imebaki miaka mitano tu watakuja na wengine.

Hapa tuna mradi mkubwa wa maji ambao utagharimu bilioni 12 utakaonufaisha watu zaidi ya sitini na nne elfu.

Tumeanza vizuri, naomba mtuamini, naomba muendelee kuiamini CCM na hasa mnaona kazi nyingine ambayo inafanyika hapo Kigongo-Busisi, tunatengeneza daraja ambalo halijawahi kuonekana Tanzania na Afrika mashariki, daraja la kilomita 3.2.

Sasa msiache mkanichagua, yakaja mengine yakafuta haya mamiradi kwa sababu gharama ya daraja hili ni bilioni 699, bilioni 700 tunaziweka hapa. Ninachowaomba ndugu zangu wa Usagara na Misungwi endeleeni kushikamana, muwe wamoja. Haya mambo ya siasa yaliyokuwa yanawatenganisha myaache na bahati nzuri ndoa ya Mnyeti, alieiandaa ni Kitwanga.

MNYETI: Mheshimiwa Rais ni kweli kama ulivyosema, ndoa yangu aliiandaa mzee Kitwanga, namheshimu sana, nampenda sana siku zote.

MAGUFULI: Nampongeza Mnyeti kwa kushinda, nawapongeza waheshimiwa madiwani. Ninafahamu kuna appeal zitatokea tokea lakini tusubiri hilo ni kazi la tume pia nawapongeza wananchi wa hapa kwa kushikamana, maendeleo hayana chama.

Nina mke wangu nae nilimuoa Misungwi, mke wa Kitwanga hebu njoo hapa bwana.

MAMA JANETH MAGUFULI: Tunamuombea kura Rais, wabunge, madiwani, mtawachagua? Basi tunawashukuru sana asanteni.

MAGUFULI: Jamani nawapenda, nitakuja siku moja tufanye mkutano hapa.

Yaani limeanza kuongelea makaburi ya shangazi zake ili iweje...kazi ipo
 
Tunataka mgombea urais anaehubiri amani Kama Dr John Pombe Magufuli hawa wengine wanaohubiri fujo na chuki hakika kura zetu hawatapata tutawaelekeza watoto wetu mama zetu na baba zetu hakuna kuchagua hao wahuni
Mahubiri yake na matendo yake ni vitu viwili tofauti,katika kipindi cha utawala wake amepandikiza na kupalilia chuki kubwa kati ya wanachama na wapenzi wa chama chake na wanachama wa vyama vingine.
Hapo awali wabunge wote bila kujali itikadi zao walikuwa wanashirikiana lakini katika kipindi chake wabunge wakapigwa marufuku hata kuhudhuria misiba yao na kuwajulia hali wanapopatwa na maswahiba yoyote.
 
Dkt. Magufuli asubuhi hii amefanya mkutano wa kampeni katika jimbo la Misungwi jijini Mwanza na kuwataka Watanzania tupendane.

Dkt. Magufuli amewasihi wananchi kutobaguana kwa misingi ya chama cha siasa, dini au kabila kwa mustakabali mwema wa taifa letu.

Kadhalika Dkt. Magufuli amewataka wanamisungwi kuchagua Rais, mbunge na diwani kutoka CCM ili waendeleze maendeleo yaliyo katika ilani ya uchaguzi.

Source: Channel Ten

Maendeleo hayana vyama!

==============

Rais Magufuli leo Jumanne anaendelea na kampeni za kuwania Urais na kuwanadi Wabunge na Madiwani wa chama anachokiongoza. Amepita Misungwi jimbo lilikuwa linaongozwa na waziri wa zamani wa mambo ya ndani, Charles Kitwanga ambalo kwa sasa CCM ilimpitisha ndugu Mnyeti, Hii ni sehemu ya hotuba yake fupi.

DKT MAGUFULI: Ninachowaambia mimi niko nyumbani, ninawashukuru sana watu wa Misungwi mmepitisha mbunge bila kupingwa, mmepitisha madiwani bila kupingwa, hongereni sana. Nimebaki mimi tu kwa sababu hamnipendi, hamjanipitisha bila kupingwa, wangapi mtanipitisha bila Kupingwa? Asanteni sana.

Nataka nieleze ukweli, mlikuwa na mbunge hapa, Kitwanga alikuwa ananisumbua sana baadhi ya miradi. Ni lazima tujue historia ilikotoka, mahali tulipo na tunapoenda na Mnyeti atakuwa Mbunge.

Katika mipango ambayo imefanyika hapa ni mingi, hata hili barabara halikuwepo, katika kipindi cha miaka mitano tulilifanya na alienisumbua ni Kitwanga, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.

Nataka niyazungumze haya, bahati nzuri katika kazi zetu huwa sio za maisha. Palikuwa na Nyerere akamaliza muda wake, akaja Mwinyi akamaliza miaka yake kumi, akaja Mkapa akamaliza miaka yake kumi, akaja Kikwete miaka yake kumi na mimi mkitipisha hapa imebaki miaka mitano tu watakuja na wengine.

Hapa tuna mradi mkubwa wa maji ambao utagharimu bilioni 12 utakaonufaisha watu zaidi ya sitini na nne elfu.

Tumeanza vizuri, naomba mtuamini, naomba muendelee kuiamini CCM na hasa mnaona kazi nyingine ambayo inafanyika hapo Kigongo-Busisi, tunatengeneza daraja ambalo halijawahi kuonekana Tanzania na Afrika mashariki, daraja la kilomita 3.2.

Sasa msiache mkanichagua, yakaja mengine yakafuta haya mamiradi kwa sababu gharama ya daraja hili ni bilioni 699, bilioni 700 tunaziweka hapa. Ninachowaomba ndugu zangu wa Usagara na Misungwi endeleeni kushikamana, muwe wamoja. Haya mambo ya siasa yaliyokuwa yanawatenganisha myaache na bahati nzuri ndoa ya Mnyeti, alieiandaa ni Kitwanga.

MNYETI: Mheshimiwa Rais ni kweli kama ulivyosema, ndoa yangu aliiandaa mzee Kitwanga, namheshimu sana, nampenda sana siku zote.

MAGUFULI: Nampongeza Mnyeti kwa kushinda, nawapongeza waheshimiwa madiwani. Ninafahamu kuna appeal zitatokea tokea lakini tusubiri hilo ni kazi la tume pia nawapongeza wananchi wa hapa kwa kushikamana, maendeleo hayana chama.

Nina mke wangu nae nilimuoa Misungwi, mke wa Kitwanga hebu njoo hapa bwana.

MAMA JANETH MAGUFULI: Tunamuombea kura Rais, wabunge, madiwani, mtawachagua? Basi tunawashukuru sana asanteni.

MAGUFULI: Jamani nawapenda, nitakuja siku moja tufanye mkutano hapa.

Huyu Baba la Baba kachanganyikiwa.
Juzi jumapili kawafokea watu kwamba wakichagua upinzani watakoma. Hadi kabadilisha lugha ili wamuelewe.
Leo ana sema tusibaguane. Huyu mzee ana ndimi ngapi? Ni mtu wa kumuogopa sana
 
Mtu huwezi kutaja sifa ambayo huna watu wakakuelewa. Eti Leo niseme l"Mimi ni nyota wa muziki" wakati hata kuimba nalazimisha!!! Huyu alipojiita KICHAA alimaanisha.
 
Huyu mzee amechanganyikiwa hajui hata anachoongea na hana msimamo na anachoongea,yeye mwenyewe ndo anagawa watanzania .

Tumwogope sana hafai kabisa
Huyu mzee ni mnafki.
FB_IMG_1599482575352.jpg
 
Nimebaki mimi tu kwa sababu hamnipendi, hamjanipitisha bila kupingwa, wangapi mtanipitisha bila Kupingwa? [emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
Kwani hao wamepitishwa lini na wananchi?

Yeye anapaswa kuwashukuru Nec na si wananchi, wananchi wameporwa haki yao ya kikatiba ya kuchaguwa.
 
Back
Top Bottom